Mwenzetu yeye anasema English na hesabu inatosha!
kama ulikomaa miaka miwili ya advance ukatoka, sembuse hapa kwa 3 yrs! we kasome kwa target bro!! SOMA SANA kama wakongwe wanavyosema!!
huyu dogo naona ana utamii hata hiyo koziii ya kwanza aliochaguliwa sidhani kama ataiweza even though ni wasichana tu wanayoisoma... by da way hongera kwa kuwa kijana wa kwanza kuchaguliwa family consumer
kumbuka ku-like basi post nzuri!!
sawa?
huyu dogo naona ana utamii hata hiyo koziii ya kwanza aliochaguliwa sidhani kama ataiweza even though ni wasichana tu wanayoisoma... by da way hongera kwa kuwa kijana wa kwanza kuchaguliwa family consumer
hyo koz nimeiomba az the path way to sua xo as i can transfer to bvm..god help me!
Ili uweze kuhama lazima kuwe na nafasi (kwa siku hizi BVM inajaa na HESLB hawana hiana nayo) na pili uwe na sifa zinazofanana na wale waliochaguliwa. Kuwa SUA siyo ticketi ya kuhamia BVM au degree yeyote nyingine.
Lingine ni kuwa ili uweze kumudu hiyo programu lazima uhamie mapema. Faculty ya VET masomo yanaanza siku ya kwanza ya kufungua chuo na timetable yake ni tight (hapa sikutishi) hivyo ukichelewa kuhama unaweza kupata tabu ya ku-cope na masomo.
Zaidi ya hapo jaribu bahati yako na uwe tayari kuchapa kazi yaani kuchapa kazi kweli.