Nataka kuhamia UDSM kutoka DUCE na kubadili kozi, inawezekana?

icon_2000

Senior Member
Joined
Jul 14, 2024
Posts
177
Reaction score
256
Naombeni msaada wakubwa zangu mimi nampango wa kuhama chuo na mdahuohuo ni badili na kozi i.e kutoka DUCE kwenda udsm.

1: Je, inawezekana?
2: Changamoto zake ni zipi?
3: Je, inabi mchakato uanze lini?
4: Je, inachukua muda gani kukamilika?
5: Ina gharama kiasi gani?

Naombeni kwa anaejua anijibie maswali hayo🙏🙏

Naombeni ustaarabu wa majibu shukran.
 
Usijali dirisha la maombi ya kuhama course likifunguliwa unaomba tu kama umekidhi vigezo utachaguliwa kozi unayotaka main campus....shida ni kwamba mwaka wote wa kwanza jiandae kusainia boom duce ila kusoma unakua unasoma main campus
 
Ugumu wa mchakato mzima ukoje kaka
 
Hiyo ni rahisi fanya hivi

Nenda udsm ufike katika ofisi ya Admission then uongee nao wao watakuambia Kama utapata nafasi au hapana.

Then kuhusu mkopo -mkopo utahamishwa huwa haizidi week 3-4 utakuwa tayari umehamishiwa mkopo wako

Nenda chuo unachotaka kuhamia fika ofisi ya udahili utapata maelezo yote
 
Ni mda wwte unaweza fanya ivyo au kuna mda maalumu
 
Usijali dirisha la maombi ya kuhama course likifunguliwa unaomba tu kama umekidhi vigezo utachaguliwa kozi unayotaka main campus....shida ni kwamba mwaka wote wa kwanza jiandae kusainia boom duce ila kusoma unakua unasoma main campus
🙏🙏🙏 shukran kaka!! Na swala la kubadili kozi likoje lenyewe
 
Naombeni msaada wakubwa zangu mm nampango wa kuhama chuo na mdahuohuo ni badili na kozi i.e kutoka DUCE kwenda udsm.
1:je inawezekana?
2: changamoto zake ni zipi?
3:je inabi mchakato uanze lini?
4:je inachukua nda gani kukamilika?
5:ina gharama kiasi gani?
Naombeni kwa anaejua anijibie maswali hayo🙏🙏
Naombeni ustaarabu wa majibu shukran
Inawezekana, ni ufaulu wako tu!

Changamoto ni mkopo kuchelewa kuhamishwa kutoka huko uliko (duce) kwa muda fulani kwenda udsm.
 
Back
Top Bottom