Swali zuriKwa nini unàtaka kuhama?
Kwa nini ulichagua Duce na siô Udsm?
Kwa nini ulichaguliwa Duce na si Udsm?
Nilichagua udsm ila nikapelekwa duce maana ni kampac yake ko duce admission yake inafanyikia udsm hata kama uja ichagua unaweza pelekwaSwali zuri
Duce ni Udsm pia usijali (Dar es salaam unversity college of education)Nilichagua udsm lakini waka nipeleka udsm kaka
Nilichagua udsm lakini waka nipeleka udsm kaka
Ila nsi viko sehem tofauti kakaDuce ni Udsm pia usijali (Dar es salaam unversity college of education)
Ngoja tumsikieSwali zuri
Kuna kozi duce haipo ipo udsm ambapo ndo nilikwa naitaka ufaulu wangu ni 1.9 pcbUfaulu Wako unasomaje?
Mbona Duce kipo Vizuri tuu.
Sababu kûbwa NI Ipi unàtaka kuhama hiko chuo
Ugumu wa mchakato mzima ukoje kakaUsijali dirisha la maombi ya kuhama course likifunguliwa unaomba tu kama umekidhi vigezo utachaguliwa kozi unayotaka main campus....shida ni kwamba mwaka wote wa kwanza jiandae kusainia boom duce ila kusoma unakua unasoma main campus
Kuna kozi duce haipo ipo udsm ambapo ndo nilikwa naitaka ufaulu wangu ni 1.9 pcb
Ni mda wwte unaweza fanya ivyo au kuna mda maalumuHiyo ni rahisi fanya hivi
Nenda udsm ufike katika ofisi ya Admission then uongee nao wao watakuambia Kama utapata nafasi au hapana.
Then kuhusu mkopo -mkopo utahamishwa huwa haizidi week 3-4 utakuwa tayari umehamishiwa mkopo wako
Nenda chuo unachotaka kuhamia fika ofisi ya udahili utapata maelezo yote
Hapana udsm ipo kaka ndo nataka nihamieSasa unaendaje Udsm Wakati hiyo kozi haipo?
Na Huko Udsm ulichaguaje kozi àmbayo Ipo Duce na haipo Udsm main campus
Upo muda maalumuNi mda wwte unaweza fanya ivyo au kuna mda maalumu
🙏🙏🙏 shukran kaka!! Na swala la kubadili kozi likoje lenyeweUsijali dirisha la maombi ya kuhama course likifunguliwa unaomba tu kama umekidhi vigezo utachaguliwa kozi unayotaka main campus....shida ni kwamba mwaka wote wa kwanza jiandae kusainia boom duce ila kusoma unakua unasoma main campus
Hapana udsm ipo kaka ndo nataka nihamie
Inawezekana, ni ufaulu wako tu!Naombeni msaada wakubwa zangu mm nampango wa kuhama chuo na mdahuohuo ni badili na kozi i.e kutoka DUCE kwenda udsm.
1:je inawezekana?
2: changamoto zake ni zipi?
3:je inabi mchakato uanze lini?
4:je inachukua nda gani kukamilika?
5:ina gharama kiasi gani?
Naombeni kwa anaejua anijibie maswali hayo🙏🙏
Naombeni ustaarabu wa majibu shukran
Kuhusu boom ukihamia udms utaongea na loan officer atakuhamishia🙏🙏🙏 shukran kaka!! Na swala la kubadili kozi likoje lenyewe