Mpaji Mungu
JF-Expert Member
- Apr 24, 2023
- 13,544
- 43,537
Over my dedi bodi! Kwanza sipo muongeaji sana na kigugumizi Cha mbaaaliπ nikiita jina lakoShirima nikisomaga comments zako napata picha ni mtu flani speed ya kuongea inasoma 70-80/120 sijui kwanini πππ
πππ sasa si unaanza kuongea fasta fasta pasipo kuita jina?Over my dedi bodi! Kwanza sipo muongeaji sana na kigugumizi Cha mbaaaliπ nikiita jina lako
Dedededepl Sasa Kwa hali hyo ntakua comfortable kwel
Kweli kabisa mkuuFrame kariakoo unalipa mwaka πsio kama hzi nyumbani zetu za kupanga tabata barracuda, ila kwenye miamala hata akitengeneza sehemu huo mtaji unatosha
Leo upo ukweni hauna kazi unaangalia avatar yangu! Ngoja kesho wakupe jembe ukachimbe mashimo ya migombaπππ sasa si unaanza kuongea fasta fasta pasipo kuita jina?
Tena nikizoom na hiyo avatar ndo basiiii unakuwa Shirima Mwijaku
Kwanini utoke saa tatu?Ukiona Kodi hyo faida ni kubwa sana mkuu hapo jiandae tu unafunga office saa 12 lkn utatoka humo saa tatu
Shukrani sana mkuuInapatikana kaka sema nyingi zina-range 800k mpaka 1.5M, kama huna haraka unalipia wakati ujenzi unaendelea mfano pale msimbazi B karibu na office za star times kuna ujenzi unaendelea unaongea na wahusika unatia pesa kabla hapajaanza kugombaniwa au pale karibu na sandaland Kuna ujenzi umeanza unalipia mapema hii wanafanya wale ambao hawana haraka na hawataki frame za ndani
Hii kwa sisi wageni, kuanzia hiyo 12 hadi 3 ni mahesabu mkuu? πUkiona Kodi hyo faida ni kubwa sana mkuu hapo jiandae tu unafunga office saa 12 lkn utatoka humo saa tatu
Hapo penye connection nzuri ndio uchawi unahusikagani kweli akiwa na mzigo mzuri na connection ya wateja sio mwenzetu miezi kadhaa tuu cha msingi connection hio hujengwa kwa uaminifu wako kwa wateja na mjiuze mzigo mzuri unaokimbia ili akimbize arudi kwako mapema nae atawaambia wenzake watajileta ukifanya hivyo kwa wateja watano kila mteja atakuletea mteja.
Ushawahi fanya biashara au kuajiriwa kwenye biashara yeyote kubwa?π Kivyovyote huwezi kua na frame kariakoo ya bei kubwa ufanye biashara ndogoHii kwa sisi wageni, kuanzia hiyo 12 hadi 3 ni mahesabu mkuu? π
Ni kamzozo kwel, ko mwamba umeogopa kutoka saa tatuKwanini utoke saa tatu?
Hapana mkuu, ndiyo nataka kujaribu kuanza!Ushawahi fanya biashara au kuajiriwa kwenye biashara yeyote kubwa?π Kivyovyote huwezi kua na frame kariakoo ya bei kubwa ufanye biashara ndogo
Utatupa mrejesho boss!Hapana mkuu, ndiyo nataka kujaribu kuanza!
Ungenijibu ni kwanini utoke saa 3 wakati duka umefunga saa 12Ni kamzozo kwel, ko mwamba umeogopa kutoka saa tatu
Sehemu inafaa biashara gani mkuu?Njoo nikupe frame 12m kwa mwaka
Hili swali naona limekosa jibu la moja kwa moja!,Ungenijibu ni kwanini utoke saa 3 wakati duka umefunga saa 12