Nataka kuingia Kariakoo kibiashara

Nataka kuingia Kariakoo kibiashara

Heri ya mwaka mpya wanajamvini[emoji7][emoji7]


Niende moja kwa moja kwenye point… nina 10m itaweza kutosha kuingia kkoo??

Mawazo ya biashara ni

1. Chupi na sidiria, night dresses

2. Cosmetics

Naomba kuuliza frame za kawaida zinarange sh ngapi?? Na mtaji kiasi gani

Au mwenye wazo tofauti please


Kuna mtu kanishauri niende china lakini kwa mwanzo kwenda huko naona bado
Karibu Lamomy
 
Unapotaka kuanza kufanya jambo lolote, hutakiwi kuomba omba sana ushauri,

Anyway 10m kwa k.koo afu ndo unaanza from the scratch..... ni mtaji mdogo sana, tegemea lolote kutokea
 
Back
Top Bottom