Nataka kuingia kwenye Mahusiano, nianzie wapi

Anza kwa kutafuta shughuli ya kufanya angalau uwe unameki laki 1 kila week. Hapo safari ya mahusiano itakuwa kama lami😁.

Hutatafuta mwanamke ila wao ndio watakutafuta ili uwe nao kwenye mahusiano. Ukizingatia hilo utakuja kunipa shukurani sana. Hakikisha mahusiano yanakutafuta wewe sio wewe uyatafute na njia pekee ya kufanikiwa katika hilo ni kuwa na uchumi imara.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…