Nataka kuingia rasmi kwenye ufalme na kupata utajiri wa shetani

Mkuu, toka Nov 22 mwaka jana unambembeleza shetani anunue roho yako bado bilabila, huoni kwamba haina soko, au Iblisi amesafiri. Kalime mahindi sumbawanga, huo ndio ushauri wa bure, BWANA Mkubwa alisema tutakula kwa jasho, hakuna mbadala
Kupata ama kutopata haikuhusu mana huna msaada wowote kwangu kulingana na mada mezani na sion haja ya kukuambia kua nimepata ama sijapata mana haitakusaidia Wala kunisaidia ila Unaongea ama kutoa koment kama nani kwenye hii thread..who tha fuckh are you
 
Sio kila mtu anaweza kuwa tajiri na sijajua hapo umeegemea katik angle ipi
Kma ni wa mali una siri zake na kila mmoja ana njia yake ya kupata.
Tafuta hela kwa jasho lako zingatia misingi ya fedha na ufanyaji kazi wake utapata mali.
Lakini sikushauri kupata mali kwa maagano ni mbaya kuliko ubaya wenyewe.
Utalia na kusaga meno siku ukiwa peko yako.
Nina mifano kadha wa kadha nitakupa miwili mi3 utapata kitu.
Kuna majirani zangu wawili mmoja ana maduka ya dawa (pharmacy) yeye mke wake wa kwanza inasemekana (wafanyakazi wake ndio walivujisha hii)
Haruhusiwi kulala ndani kwake iwe ni usiku ama kusinzia kawaida,ana nyumba kali sana mtaani kwetu lakini utamkuta nje kasinzia na ukimwambia ingia ndani anakwambia hapa pananitosha ndani kelele nakumbuka ana nyumba ya ghorofa 3 ukiacha mansion ya oilcom kwa uzuri inafuata ya kwake.
Wa pili ni anauza nguo k/koo mkewe kafariki mwaka jana mwanzoni
Tangu mkewe afariki ndani kwake hajaingia hata mara moja akija ni kuwaita watoto nje na anasepa.kumbuka watoto mama aliwaacha wadogo mkubwa kati yao ana miaka 8,ofisini kwake anaingia kimgongo mgongo (sema kinyumenyume)
Na mali zimeongezeka mara dufu hata mauzo dukani si haba.
Wa tatu ni ndugu yngu kabisa (uncle) upande wa baba mkubwa
Yeye ana maisha mazuri tu ana 2 companies na viwanda vitatu vinachapa rubber na disposable plates and cups
Lakini hakuna mfanyakazi wake yeyote au ndugu yake mwenye maisha angalau wote ni dhalili vibaya sana.
Kila mwaka lazima mtu katika koo au wafanyakazi anakata moto iwe serious au kimasihala.
Dua nq visomo kwake havipungui kila mwezi
Wafanyakazi wamekuwa km mataahira tu.na ikitokea mfanyakazi ameacha kazi iwe kwa ridhaa ama kuachishwa utajuta ni kwamba hata sh 100 mbovu hushiki mpka ukamuombe msamaha hata km haujamkosea.
Na akikupa hela yake hata 50mil ni hautoboi kokote na utashangaa imeishaje.

Bado unahitaji tu wa masharti!?
 
Sitaki kutafuta hela kwa jasho na sitaki kuzingatia misingi ya fedha na ufanyaji kazi wake sababu it is not applicable ktk ulimwengu wa Sasa, nitapoteza muda na zaidi inaongeza umaskini na hela unayopata ni ya kula na kujaza tumbo tu mwisho wa siku unapata kiriba tumbo unaanza kujiuguza kimaskin, mwishowe una perish kama toilet paper ,
konekshen kama ipo nipasie.
 
Back
Top Bottom