Nataka kuingia rasmi kwenye ufalme na kupata utajiri wa shetani

Nataka kuingia rasmi kwenye ufalme na kupata utajiri wa shetani

Pesa sio kila kitu, tafakari upya juu ya uamuzi wako
 
Nataka kuukaribia utajiri wa giza, utajiri wa mkataba, utajiri wa mizimu ama majini, connection naombeni, umaskini ni laana wazee mnaelewa?

Nataka kuingia rasmi kwenye ufalme wa giza, nataka kumsujudia shetani mana katika vitabu vimeandikwa ukimsujudia atakupa mali nyingi sana na utajiri mkubwa wa dunia hii.

Nataka kua kama chief godlove ama tajiri bilionea Lugumi ama diamond platnumz anaesema kua dola laki mbili ya kununua gari ya tesla ni hela ndogo sana..

Au mnataka niwe kama wengine waliojikatia tamaa halafu wanakuja kuwaaga kua wanajiua, halafu wakifa ndio mnawanunulia suti za kuwavalisha wakiwa marehemu za bei mbaya na jeneza la bei mbayaa, inasaidia nini kwa mfu. Leteni konekshen tujitose, ujasiri ninao nshaamua liwalo na liwe.

Naskia uchungu sana huu umasikini [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
Hachana na huko piga ujambzi
 
Unaongea kama nani..
Mkuu, toka Nov 22 mwaka jana unambembeleza shetani anunue roho yako bado bilabila, huoni kwamba haina soko, au Iblisi amesafiri. Kalime mahindi sumbawanga, huo ndio ushauri wa bure, BWANA Mkubwa alisema tutakula kwa jasho, hakuna mbadala
 
Back
Top Bottom