pesakilakitu
JF-Expert Member
- Aug 17, 2024
- 1,618
- 2,861
- Thread starter
- #341
I want to sell my soul for riches wealth and fame...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwanini
Mengine niachie mwenyewe.Yataka moyo
AhahahMengine niachie mwenyewe.
Unayo konekshen unisaidie pm
Hachana na huko piga ujambziNataka kuukaribia utajiri wa giza, utajiri wa mkataba, utajiri wa mizimu ama majini, connection naombeni, umaskini ni laana wazee mnaelewa?
Nataka kuingia rasmi kwenye ufalme wa giza, nataka kumsujudia shetani mana katika vitabu vimeandikwa ukimsujudia atakupa mali nyingi sana na utajiri mkubwa wa dunia hii.
Nataka kua kama chief godlove ama tajiri bilionea Lugumi ama diamond platnumz anaesema kua dola laki mbili ya kununua gari ya tesla ni hela ndogo sana..
Au mnataka niwe kama wengine waliojikatia tamaa halafu wanakuja kuwaaga kua wanajiua, halafu wakifa ndio mnawanunulia suti za kuwavalisha wakiwa marehemu za bei mbaya na jeneza la bei mbayaa, inasaidia nini kwa mfu. Leteni konekshen tujitose, ujasiri ninao nshaamua liwalo na liwe.
Naskia uchungu sana huu umasikini [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
Unfortunately, there is no marketI want to sell my soul for riches wealth and fame...
Unaongea kama nani..Unfortunately, there is no market
Mkuu, toka Nov 22 mwaka jana unambembeleza shetani anunue roho yako bado bilabila, huoni kwamba haina soko, au Iblisi amesafiri. Kalime mahindi sumbawanga, huo ndio ushauri wa bure, BWANA Mkubwa alisema tutakula kwa jasho, hakuna mbadalaUnaongea kama nani..