Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 33,679
- 49,841
Tupo pamojaKaribu sana mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tupo pamojaKaribu sana mkuu
Biashara hii ni nzuri changamoto ni kwenye eneo kwa ajili ya hiyo biashara....kama umekodi kwa mswahili akiona unapata...unashangaa timbwilitimbwili linaanza#1 is the best,ukiweza kidogo unaongeza na kibanda cha kuuza zile polish za dushboard,car mats kisha unamtafuta fundi mzoefu mmoja hapo Dom unamuomba akushauri vile vitu vinasaidia gari kuwa vizuri hasa kwenye engine,pia uweke baadhi ya oil litre 1&5 pia brake fluid.
Kuna vimiminika fulani kama oil huwa vinachanganywa na diesel or petrol vinasaidia sana kufanya gari mafuta yaende vizuri pia ukiviweka hivi inakuwa rahisi kuwauzia wateja zako ukiwaelewesha,pia ningekushauri ufanye hiyo #5 ambayo ulishawahi kuifanya.
Kila la heri mkuu.
Nilichokiona katika hii biashara ni kuwa ukiweka kilo nyingi zitakuwa zinalala na kukuharibia soko;kwa upande wangu suluhisho ni kuwa nazo nyingi na kila moja isizidi kilo 50 kwa sikuKaribu sana mkuu
Kama mambo yatakuwa sawa nitakuja nikuombe ABC,nataka nianzishe angalau 10 kwa Arusha;wahudumu nitaweka mabinti wazuri kuvutia wateja n.k
Utaweza kushika panga na kukata nyamaNajiwahi kbs..naomb ajira hapo mkuu
Kama ni kweli;nipatie ABC utakavyoifanya hiyo biashara na namna mauzo yatakavyokuwa...Naweza (serious)
Ni kweli mkuu,ujasiriamali unalipa ingawa mwanzoni kuna changamoto nyingiSafi sana Mkuu ukiweza kukaza utatoboa Tu hakuna Best feeling katika dunia hii kama kuwa Boss wa maisha yako, japo ujasiriamali ni Mgumu lakini ukiwa na matamanio yanayochoma moyo wako utafika Tu bless up
Kama ni kweli;nipatie ABC utakavyoifanya hiyo biashara na namna mauzo yatakavyokuwa...
Ni kweli mkuu,ujasiriamali unalipa ingawa mwanzoni kuna changamoto nyingi
ha ha ha ha kama ni kweli njoo mwezi wa tisa nikupe koti jeupe😅😅...!naogopa kuuza siri ya mafanikio yetu kwenye hii biashara..
anywys..
1.kuwa msafi
2.mkarimu na mchangamfu!
3.mchapakazi
Sasa mengine itabudi yawe siri😅😅
ha ha ha ha kama ni kweli njoo mwezi wa tisa nikupe koti jeupe
Ni kweli mkuu kuna maisha fulani huwa nayatamani lakini bado kuyafikia,natamani niwe naamka muda ninaotaka huku shughuli zikiwa zinajiendesha...na njia pekee naona ni kuweka mikakati sawaYeah Mkuu changamoto ni nyingi lakini ndiyo kitu muhimu zaidi Duniani kote
PowaAsante mkuu...!nitakuja pm
Nilichokiona katika hii biashara ni kuwa ukiweka kilo nyingi zitakuwa zinalala na kukuharibia soko;kwa upande wangu suluhisho ni kuwa nazo nyingi na kila moja isizidi kilo 50 kwa siku