Nataka kuiona nguvu ya milioni 2 kwenye biashara mpya

Mimi namshauri aanze na machine inayotumia mafuta, hazitofautiani Sana bei na Za umeme, anapiga kazi baada ya muda anaongeza machine nyingine ya umeme, zinaendelea kuosha magari kwa pamoja, target ni kua na machine tatu mbili za umeme moja unayotumia mafuta, hii ya mafuta unahiifadhi huku ukitumia za umeme kwa ajili ya backup tu umeme unapokatika au siku wateja wamekua wengi, maana gharama za uendeshaji ziko juu kidogo..
Mtaji unavyokua unaeza ukafungua kibanda cha chips, Mishkak, soda na maji-Hii unatarget wateja wako wanaoosha magari na wapita njia.
Baadae unaweza ukaanza na line mbili tigo na mpesa ndo wananchi wengi wanatumia,mwisho unamalizia halo pesa,airtellmoney,crdb,nmb wakala.Ukifika hapa uhakika wa Kula, kujenga na kuoa kama hujaoa ni mkubwa mkuu. This can take you about 2-4yrs,inategemea na sehemu ulipoekeza mkuu Kama kuna wateja wengi.
Kama umefanikisha kupata eneo lenye maji,umeme....anza biashara mkuu,na kwa pembeni weka 'bites'
 
Mara nyingi timbwili linaanzishwa na washikaji ambao unawapa siri ya mafanikio na faida unayoipata, hawa hawa wanazunguka na kumfuata mwenye eneo na kumpa fulu details na kumuuliza anakulipa kodi shiling ngapi mara nipe mm nitakupa mara mbili yake mwenye nyumba anajaa upepo.
Wenzetu wahindi wanafanikiwa mnoo kutokana na usiri mkubwa waliokua nao kuanzia kwenye personal life mpaka Kwenye biashara.They dontt disclose any issues kwa mtu ambae sio closed related kwao.
Na wanadiscipline na hela sana, bata wanakula in special occasion thou si wote Ila 99%wanaheshimu pesa na wanafanya serving sana.So as Somali and Arabs
Ni kweli kabisa mkuu,nakumbuka nilikuwa nalipa kodi laki 5 Mara gafla nikaambiwa laki 8,sijakaa sawa 1milioni,kabla sijamaliza kushangaa nikaambiwa nihame
 
Uzi mtamu natamani watu waliofanikiwa waje hapa na mawazo mazuri, njia walizopitia mpaka kufanikiwa, changamoto na vitu vingine vitakavyomsaidia yoyote anaetaka kujiajiri.
tapatalk_1560590627275.jpeg
 
Naweka swala langu hapa nikiamini sijakosea.
Shida yangu kubwa ni namna yakuifanya 2.0Mil ianzishe na kusustain biashara.
Shortly; mimi ni kijana nipo dodoma, nilikua nafanya kazi sehemu flani mkoa jirani, nikapata post ya serikalini, sikuipenda ila wanaonizunguka hasa familia haikutazama kama nilivyotazama mimi (Najua inafahamika namna gani watu wanatamani kuajiriwa serikalini). Ndoto zangu sio kuajiriwa milele hivyo kwangu haikua golden chance kama walivyoiona wao.
Kiufupi walifanya nikaacha kazi niliyofanya(private) kwaajili ya hiyo post ya serikali ambayo hivi ninavyoandika imeshashindikana (sioni haja yakufafanua hapo)
Kikubwa ni kua baada ya gharama zote zakusatle kwenye kazi mpya iliyoharibika nimejikuta nimebaki na milioni mbili tuu, na sijisikii tena kuomba ajira kwa mtu yeyote maana hata kilicho fanya hiyo kazi mpya kuharibika ni pale mkuu mmoja wa idara alipotaka nimuabudu na kumnyenyekea kupita kiasi ( msiniquote vibaya, mimi niko humble sana tuu, ila kila kitu kina kiasi)
Sasa nataka kufanya biashara simple inayofit kwenye hiyo capital yangu. Nahitaji msaada wa idea inayotekelezeka maana all my life will depend on that.
Umefanya kosa tayari. Hukutakiwa kuacha kazini bila kuwa umeanza biashara, au walau wazo la biashara. 2m itaishia kwenye msingi kama hutakuwa makini au kupata ushauri mzuri. Hiyo pesa si nyingi, si kidogo. Inategemea na aina ya biadhara na jinsi utakavyo zicheza karata zako. Jipe moyo, utafanikisha.
 
Mara nyingi timbwili linaanzishwa na washikaji ambao unawapa siri ya mafanikio na faida unayoipata, hawa hawa wanazunguka na kumfuata mwenye eneo na kumpa fulu details na kumuuliza anakulipa kodi shiling ngapi mara nipe mm nitakupa mara mbili yake mwenye nyumba anajaa upepo.
Wenzetu wahindi wanafanikiwa mnoo kutokana na usiri mkubwa waliokua nao kuanzia kwenye personal life mpaka Kwenye biashara.They not disclose any issues kwa mtu ambae sio closed related kwao.
Na wanadiscipline na hela sana, bata wanakula in special occasion thou si wote Ila 99%wanaheshimu pesa na wanafanya serving sana.So as Somali and Arabs

laii umeongea point muhimu sana mkubwa!!
 
Biashar Biashara Biashara….kuna siku nimeingia club moja hivi dar, Baunsa mmoja akanifata akanitolea simu na kunionyesha picha za mtoto wake amepata jeraha kubwa la kuungua na moto.... alihitaji msaada wa matibabu nikamgea kiasi kizuri. Akawa Rafiki yangu, baada ya miezi kadhaa nikarudi tena pale club, alinichangamkia sana, akatoa simu kunionyesha mtoto sasa amepona akiwa na kovu tu.… Nilifurahi sana,Tukawa tunaongea mambo ya Maisha na biashara. akawa ananiuliza anaweza fanya biashara gani ya mtaji wa laki 1 mahala pale. Nikamwambia nenda nunua vocha za mitandao mikubwa, nunua za kuanzia buku mbili kupanda juu, hadi elfu kumi na usinunue za jero jero ama buku buku (sikuwa serious) kisha anza biashara, ya buku 2 uza buku 2 na jero, ya buku tano uza buku sita ya buku 10 pia. Tunza faida biashara ikuwe….Nilirudi tena mahala pale baada ya mwaka alivyoniona alinikumbatia kwa furaha kubwa akanivuta hadi nje kabisa, kanionyesha gari Toyota mark ii. Namnukuu "Kaka hio nafanya taxi mida za mchana na hapa mwenzio nishanunu kiwanje na nishapandisha tofali kadhaa juuu kwa mawazo yako ya vocha" Nilifurahi mnooooo. Biashara ni ubunifu na utayari wa muhusika mwenye
 
Shukrani sana mkuu
Mimi namshauri aanze na machine inayotumia mafuta, hazitofautiani Sana bei na Za umeme, anapiga kazi baada ya muda anaongeza machine nyingine ya umeme, zinaendelea kuosha magari kwa pamoja, target ni kua na machine tatu mbili za umeme moja unayotumia mafuta, hii ya mafuta unahiifadhi huku ukitumia za umeme kwa ajili ya backup tu umeme unapokatika au siku wateja wamekua wengi, maana gharama za uendeshaji ziko juu kidogo..
Mtaji unavyokua unaeza ukafungua kibanda cha chips, Mishkak, soda na maji-Hii unatarget wateja wako wanaoosha magari na wapita njia.
Baadae unaweza ukaanza na line mbili tigo na mpesa ndo wananchi wengi wanatumia,mwisho unamalizia halo pesa,airtellmoney,crdb,nmb wakala.Ukifika hapa uhakika wa Kula, kujenga na kuoa kama hujaoa ni mkubwa mkuu. This can take you about 2-4yrs,inategemea na sehemu ulipoekeza mkuu Kama kuna wateja wengi.
 
Mkuu hicho kitu nilikiwaza sana tuu.

Ntakupa mfano mmoja.
Kwa miaka mingi, dodoma(mjini) imekua moja ya sehemu ambazo unaweza ukafika kwenye soko la samaki ukajibiwa "leo gari la samaki halijaja" ikiwa utaulizia samaki kwa siku hiyo. Hilo ni gari lakutoka mtera. Bado dodoma tunauhitaji wa hiki kitoweo sana.

Hii ilinipa wazo la kufuga samaki kwa scale kubwa. Ufugaji huu pamoja na ufugaji wa viumbe wengine wa biashara nimeujumuisha kwenye wazo namba 6. Shida ni kwamba, nikianza ufugaji leo, itanichukua angalau miezi minne (4) kuanza kutoa product. Ndani ya hiyo miezi minne ninatakiwa niendelee kumanage maisha.

Sijaona shida kuweka hili wazo hapa kwasababu hata atakayeona fursa kulitumia hawezi kumeet demand, kiufupi hakuna anayeweza kufuga samaki wakulisha dodoma nzima yeye mwenyewe, hayupo.

Ndio maana kuna mchangiaji aliniambia nianze na car wash then nikiwa stable nifanye ufugaji, japo yeye hakujua nitafuga nini, lakini idea yangu iliendana na mchango wake.

Karibu tena mkuu. Naheshimu mawazo yako.
Kama alivyosema mchangiaji mmoja hapo juu Cc chasha farming.
Kabla ya kuangalia ni Biashara gani unakusudia kuifanya ni lazima ufanye utafiti kwanza Katika Maeneo unayoishi,jamii inayokuzunguka ina changamoto zipi,Je Kama mjasiriamali unaweza kutatua zipi Kati ya hizo.

Pesa huwa ni matokeo baada ya kutatua changamoto/matatizo ya watu wanaotuzunguka Katika maisha yetu.Hizo huduma/Biashara hapo juu ni hatua ya mwisho kabisa baada ya kufanya uchunguzi na kugundua changamoto na kupata suluhishao lake.
Ebu achana na hizo Biashara kwanza,ingia mtaani fanya uchunguzi alafu huko utapata wazo la Biashara ipi ni sahihi kwa watu sahihi kwa wakati huu.
Service should stand as an input and profit should stand as an output.
 
Mkuu hicho kitu nilikiwaza sana tuu.

Ntakupa mfano mmoja.
Kwa miaka mingi, dodoma(mjini) imekua moja ya sehemu ambazo unaweza ukafika kwenye soko la samaki ukajibiwa "leo gari la samaki halijaja" ikiwa utaulizia samaki kwa siku hiyo. Hilo ni gari lakutoka mtera. Bado dodoma tunauhitaji wa hiki kitoweo sana.

Hii ilinipa wazo la kufuga samaki kwa scale kubwa. Ufugaji huu pamoja na ufugaji wa viumbe wengine wa biashara nimeujumuisha kwenye wazo namba 6. Shida ni kwamba, nikianza ufugaji leo, itanichukua angalau miezi minne (4) kuanza kutoa product. Ndani ya hiyo miezi minne ninatakiwa niendelee kumanage maisha.

Sijaona shida kuweka hili wazo hapa kwasababu hata atakayeona fursa kulitumia hawezi kumeet demand, kiufupi hakuna anayeweza kufuga samaki wakulisha dodoma nzima yeye mwenyewe, hayupo.

Ndio maana kuna mchangiaji aliniambia nianze na car wash then nikiwa stable nifanye ufugaji, japo yeye hakujua nitafuga nini, lakini idea yangu iliendana na mchango wake.

Karibu tena mkuu. Naheshimu mawazo yako.
Eliment za Uoga. Biashara haziendagi hivyo Kijana eti una collect Idea. Tehetehe kwa wajuvi wa mambo tiyari wanauona uoga ndani yako.
Utaishia kukusanya mawazo tu, mara car wash mara sijui samaki mara sijui nini.

Wakina Mengi RIP wangeanza hivyo nazani wasingekuwepo leo hii. Wewe hujiamini hata chembe umetawaliwa na uoga ngoja wajinga waendelee kuchoma Mb kukupa mawazo
 
Uzi mtamu natamani watu waliofanikiwa waje hapa na mawazo mazuri, njia walizopitia mpaka kufanikiwa, changamoto na vitu vingine vitakavyomsaidia yoyote anaetaka kujiajiri. View attachment 1154971
Unaamini wakija na wewe ndo kutoboa kwako? Mkuu Mambo hayaendi hivyo eti wakikupa story tu basi unatoboa.Uoga na kuto jiamini ni zambi mbaya sana kwamba huwezi kujiamini hadi wengine waje kujiamini kwa niaba yako
 
Kuna wakati(zamani) nilikua nachukia sana pale ninapotumia nguvu kubwa kubainisha jambo fulani, halafu anaibuka mtu mmoja anayedhani anaakili kuliko wengi (kama sio wote), anakuja akiwa amelielewa jambo husika completely different.

1- Umeishia kuelewa kuwa eti, mimi ninakusanya
mawazo. Yani hiyo ndo tafsiri pekee uliyopata. Yani
hapo ndo akili yako imemaliza.

Hujafikiri kuhusu labda kutaka A B C kwa walio
kwenye biashara husika, hujawaza kuhusu kupata
uzoefu kutoka kwa wenye uzoefu. Hujawaza kuhusu
exposure

2- Hujaona kitu mbali na hicho ulichokiita uoga. Aisee..

Yani mkuu kweli kabisa unanitolea na unabii kwamba "utaishia kukusanya mawazo tuu"...!!!!!???

Eliment za Uoga. Biashara haziendagi hivyo Kijana eti una collect Idea. *"Tehetehe"* kwa wajuvi wa mambo tiyari wanauona uoga ndani yako.
Utaishia kukusanya mawazo tu, mara car wash mara sijui samaki mara sijui nini.

Wakina Mengi RIP wangeanza hivyo nazani wasingekuwepo leo hii. Wewe hujiamini hata chembe umetawaliwa na uoga ngoja wajinga waendelee kuchoma Mb kukupa mawazo

Hapo kwenye kicheko mkuu umecheka kinafki kweli..
 
Umeutusi uma mkuu
Yani umejihakikishia kua wote waliocomment positively hapa ni wajinga ila wewe ndo mwerevu...!!!

No offense, unaakili yakitoto sana mkuu. Umri wako na ufikiriaji wako havijaoana japo naamini hapo ndo ulitaka kujitunisha kua wewe ndo umetoa wazo lakipekee.

Ulipomtaja mengi tuu nikapata mashaka kama umewahi kumili biashara hata ya mtaji wa elfu 10.
Eliment za Uoga. Biashara haziendagi hivyo Kijana eti una collect Idea. Tehetehe kwa wajuvi wa mambo tiyari wanauona uoga ndani yako.
Utaishia kukusanya mawazo tu, mara car wash mara sijui samaki mara sijui nini.

Wakina Mengi RIP wangeanza hivyo nazani wasingekuwepo leo hii. Wewe hujiamini hata chembe umetawaliwa na uoga ngoja wajinga waendelee kuchoma Mb kukupa mawazo
 
Tehetehe kwanza hizo sio Idea, hivi kuanziasha Car wash nani asiye ijua hiyo biashara? Mtafute mtoto wa Darasa la kwanza au hata Chekechea mwambie akutajie biashara anazo zijua hiyo ya Car wash itakuwa moja wapo.

Hakuna wazo hapo kuna maoni ya aina za biashara.

Hozo tajwa zipo zote kitaa muda mrefu sana.

Unacheza na Wazo la biashara?
Umeutusi uma mkuu
Yani umejihakikishia kua wote waliocomment positively hapa ni wajinga ila wewe ndo mwerevu...!!!

No offense, unaakili yakitoto sana mkuu. Umri wako na ufikiriaji wako havijaoana japo naamini hapo ndo ulitaka kujitunisha kua wewe ndo umetoa wazo lakipekee.

Ulipomtaja mengi tuu nikapata mashaka kama umewahi kumili biashara hata ya mtaji wa elfu 10.
 
Wewe ni fullu muoga hakuna Biashara utakayo fanya. Walioko kwenye game hawakuzunguka kussnya mawazo mpaka hapo una Uoga, wengi hili hawawezi liona but una Uoga mkubwa sana.

Eti unakusanya mawazo ya biashara ya wengine ndo ulivyo fundishwa Chuo? Hahaaa aisee kuna mambo sana humu
Kuna wakati(zamani) nilikua nachukia sana pale ninapotumia nguvu kubwa kubainisha jambo fulani, halafu anaibuka mtu mmoja anayedhani anaakili kuliko wengi (kama sio wote), anakuja akiwa amelielewa jambo husika completely different.

1- Umeishia kuelewa kuwa eti, mimi ninakusanya
mawazo. Yani hiyo ndo tafsiri pekee uliyopata. Yani
hapo ndo akili yako imemaliza.

Hujafikiri kuhusu labda kutaka A B C kwa walio
kwenye biashara husika, hujawaza kuhusu kupata
uzoefu kutoka kwa wenye uzoefu. Hujawaza kuhusu
exposure

2- Hujaona kitu mbali na hicho ulichokiita uoga. Aisee..

Yani mkuu kweli kabisa unanitolea na unabii kwamba "utaishia kukusanya mawazo tuu"...!!!!!???

Hapo kwenye kicheko mkuu umecheka kinafki kweli..
 
Naweka swala langu hapa nikiamini sijakosea.

Shida yangu kubwa ni namna yakuifanya 2.0Mil ianzishe na kusustain biashara.

Shortly; mimi ni kijana nipo dodoma, nilikua nafanya kazi sehemu flani mkoa jirani, nikapata post ya serikalini, sikuipenda ila wanaonizunguka hasa familia haikutazama kama nilivyotazama mimi (Najua inafahamika namna gani watu wanatamani kuajiriwa serikalini). Ndoto zangu sio kuajiriwa milele hivyo kwangu haikua golden chance kama walivyoiona wao.

Kiufupi walifanya nikaacha kazi niliyofanya(private) kwaajili ya hiyo post ya serikali ambayo hivi ninavyoandika imeshashindikana (sioni haja yakufafanua hapo)

Kikubwa ni kua baada ya gharama zote zakusatle kwenye kazi mpya iliyoharibika nimejikuta nimebaki na milioni mbili tuu, na sijisikii tena kuomba ajira kwa mtu yeyote maana hata kilicho fanya hiyo kazi mpya kuharibika ni pale mkuu mmoja wa idara alipotaka nimuabudu na kumnyenyekea kupita kiasi ( msiniquote vibaya, mimi niko humble sana tuu, ila kila kitu kina kiasi)

Sasa nataka kufanya biashara simple inayofit kwenye hiyo capital yangu. Nahitaji msaada wa idea inayotekelezeka maana all my life will depend on that.

Dah,mkuu umenisikitisha sana yaani unaacha kazi kwa sababu ya mtu?

Umenisikitisha sana kwani naamini hata kwenye hiyo biashara unayotaka kuianzisha ukigombana na wateja utazila tena na sijui utaiacha tena au vipi.

Jitathmini tabia zako mkuu huenda kuna mahali unafeli.
 
Nakukaribisha kurudia kusoma nilichoandika.
Pia nakukaribisha kuchangia kwa mara nyingine.
Dah,mkuu umenisikitisha sana yaani unaacha kazi kwa sababu ya mtu?

Umenisikitisha sana kwani naamini hata kwenye hiyo biashara unayotaka kuianzisha ukigombana na wateja utazila tena na sijui utaiacha tena au vipi.

Jitathmini tabia zako mkuu huenda kuna mahali unafeli.
 
Nilipokujibu mara ya kwanza nilidhani wewe ni mtu mzima.

Ila kwa uandishi huu na vicheko hivyo vyakuandika nimepata mashaka makubwa sana.

Sawa mkuu, acha sisi wa darasa la saba (kimawazo) tuendelee kushauriana.
Wewe ni fullu muoga hakuna Biashara utakayo fanya. Walioko kwenye game hawakuzunguka kussnya mawazo mpaka hapo una Uoga, wengi hili hawawezi liona but una Uoga mkubwa sana.

Eti unakusanya mawazo ya biashara ya wengine ndo ulivyo fundishwa Chuo? Hahaaa aisee kuna mambo sana humu
 
Wacha uongo na kujiona mjuaji wakati uko nje ya mada
Sio kila uzi unatakiwa ukoment
Hahaa nimejaribu kukuelezea mazingira halisi sasa subiria uelezwe vile unavyo vipenda kuvisikia ndo shida zetu sisi.

Unataka tu kusikia yale unayo yapenda masikioni?

Biashara ni zaidi ya wazo mkuu sijui kama hilo unalijua.

Nazani unaamini ukisha pata wazo zuri basi umetoka hata kama una huo mtaji.

Unaweza pata Virgin Idea na still ikawa ngumu sana.

Maelezo yangu hutayaelewa na hayatkufurahisha make siko hapa kufurahisha ila nimejaribu kukupa picha kamili ukitilia maana situatuon za sasa hivi.
 
Back
Top Bottom