laii
JF-Expert Member
- Oct 10, 2016
- 843
- 1,094
Mimi namshauri aanze na machine inayotumia mafuta, hazitofautiani Sana bei na Za umeme, anapiga kazi baada ya muda anaongeza machine nyingine ya umeme, zinaendelea kuosha magari kwa pamoja, target ni kua na machine tatu mbili za umeme moja unayotumia mafuta, hii ya mafuta unahiifadhi huku ukitumia za umeme kwa ajili ya backup tu umeme unapokatika au siku wateja wamekua wengi, maana gharama za uendeshaji ziko juu kidogo..
Mtaji unavyokua unaeza ukafungua kibanda cha chips, Mishkak, soda na maji-Hii unatarget wateja wako wanaoosha magari na wapita njia.
Baadae unaweza ukaanza na line mbili tigo na mpesa ndo wananchi wengi wanatumia,mwisho unamalizia halo pesa,airtellmoney,crdb,nmb wakala.Ukifika hapa uhakika wa Kula, kujenga na kuoa kama hujaoa ni mkubwa mkuu. This can take you about 2-4yrs,inategemea na sehemu ulipoekeza mkuu Kama kuna wateja wengi.

Kama umefanikisha kupata eneo lenye maji,umeme....anza biashara mkuu,na kwa pembeni weka 'bites'