Nataka kujenga Kigamboni, ushauri tafadhali

Maeneo ya mradi wa NSSF ukivuka kama unaelekea Kimbiji nimeona maeneo tulivu sana, wenyeji karibuni tupeane mchongo wa viwanja vya bei nafuu jamani pesa ipo mfuko wa shati.
Umeshapata?
 
Kimbiji kwa Morris heka moja na robo bei milioni 15,mbutu kigamboni kiwanja kimepimwa kabisaa kina ukubwa wa sqm 1298 kina hati ya wizara ya ardhii bei milioni 40 dakika 4 beach.0767600250
20230625_103620207.jpg
 
Maeneo ya mradi wa NSSF ukivuka kama unaelekea Kimbiji nimeona maeneo tulivu sana, wenyeji karibuni tupeane mchongo wa viwanja vya bei nafuu jamani pesa ipo mfuko wa shati.

Maeneo ya Dege nina kiwanja, 1.5Km kutoka lami.. ukubwa wa kiwanja ni 922sqt kimegawanywa mara mbili(yaani kila kimoja 461sqt) Bei yake [emoji383]15M chote
 
Njoo kigamboni potea nkupe 735sq 7.5m
 
Maeneo ya Dege nina kiwanja, 1.5Km kutoka lami.. ukubwa wa kiwanja ni 922sqt kimegawanywa mara mbili(yaani kila kimoja 461sqt) Bei yake [emoji383]15M chote

Dege upande gani?
 
Back
Top Bottom