Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umeshapata?Maeneo ya mradi wa NSSF ukivuka kama unaelekea Kimbiji nimeona maeneo tulivu sana, wenyeji karibuni tupeane mchongo wa viwanja vya bei nafuu jamani pesa ipo mfuko wa shati.
Maeneo ya mradi wa NSSF ukivuka kama unaelekea Kimbiji nimeona maeneo tulivu sana, wenyeji karibuni tupeane mchongo wa viwanja vya bei nafuu jamani pesa ipo mfuko wa shati.
Maeneo ya Dege nina kiwanja, 1.5Km kutoka lami.. ukubwa wa kiwanja ni 922sqt kimegawanywa mara mbili(yaani kila kimoja 461sqt) Bei yake [emoji383]15M chote
Mbutu mbal saan yan kule ukikaa lazim uwe na usafiriKimbiji kwa Morris heka moja na robo bei milioni 15,mbutu kigamboni kiwanja kimepimwa kabisaa kina ukubwa wa sqm 1298 kina hati ya wizara ya ardhii bei milioni 40 dakika 4 beach.0767600250View attachment 2670908
Dege upande gani?