Nataka kujenga

Kiuhalisia kama tayari una kiwanja, unaweza kuwa na ghorofa la Kontena

Unatafuta makontena mawili unayapandisha, then ghorofa lako unalo tayari

Kuhusu, kujenga unaweza kupata msingi wa ghorofa la chumba kimoja juu
 
Haya yote kayataka Mwijako....kila mtu anataka kujenga gorofa
 
Anza ujenzi hela nyingi sana...mwaka juzi kuna jamaa alianza kujenga ghorofa kwa million 4 na nusu saiz kashahamia
 
Au yale magofora ya mirunda ya mbugani mbona kwa million 5 anatusua mwez wa 6 kashahamia
 
Inategemeana na
  • Ukubwa wa nyumba yako ,mana inaweza una chumba kimoja chini na juu kimoja.
  • Matilio uliyopanga kutumia,,labda umepanga kujenga nyumba ya udongo au Nyasi.
  • Inawezekana hiyo 5M kumbe ni 5M Dollars,ambayo sawa na over 100M in Tsh.
  • Pia inawezekana mwenzetu matilio zote ushanunua, na hiyo 5M kama ni Tsh ni kwa ajili ya mafundi tu.
 
Sijanunua material ila mafundi siwalipi chochote,
 
hiyo hela nenda kabetie alaf ikizaa ndio ujenge ghorofa
 
Sijanunua material ila mafundi siwalipi chochote,
Mimi ndoto yangu ni kujenga ghrofa ndani ya miaka mitatu lazima,

Je wastani wa kusimamisha jengo la ghrofa ndogo na kuezeka, kisha nikarabati hata chumba kimoja cha kukaa, nafaa niandae kiasi gani?
 
Mimi ndoto yangu ni kujenga ghrofa ndani ya miaka mitatu lazima,

Je wastani wa kusimamisha jengo la ghrofa ndogo na kuezeka, kisha nikarabati hata chumba kimoja cha kukaa, nafaa niandae kiasi gani?
kusimamisha inaweza gharrimu kama 20M-30M
 
kwa hali ya maisha ilivo bila shaka tokea umeandika mada hadi waleo ushatumia sehemu ya hela ya ghorofa

Usipoweka ata msingi utaila hela yote by july
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…