Just Distinctions
JF-Expert Member
- May 5, 2016
- 3,230
- 6,742
Kiuhalisia kama tayari una kiwanja, unaweza kuwa na ghorofa la KontenaWakuu, mimi ndoto yangu nije niishi kwenye nyumba ya ghorofa hata ikiwa ghorofa mayai, ni sawa tu,
Sasa nauliza kwa wataalumu hapa wa Jamii forum, nikiwa na Million 5 siwezi kujenga ghrofa?
Sio lazima niimalize ukarabati, lakini niwe na uwezo wa kuifikisha hatua ya kuhamia hata vyumba viwili?
Naombeni wataalamu mnieleze hili🤔
Unatafuta makontena mawili unayapandisha, then ghorofa lako unalo tayari
Kuhusu, kujenga unaweza kupata msingi wa ghorofa la chumba kimoja juu