Nataka kujifunza kupigana baada ya kupeteza simu yangu

stevoh

JF-Expert Member
Joined
Dec 5, 2011
Posts
2,921
Reaction score
1,105
Kama kichwa cha thread kinavyosema juzi nilipoteza simu yangu kipenzi baada ya mtu mzima kuwekwa chini!

Sasa mim nataka kujifua ili nisikalishwe chini lakini niwakalishe chini.

Kwa sasa naomba mtu anielekeze pa kujifua mimi nipo Dar pande za Kigambonii.
 
daah Mkuu pole sana, ila wakati unasubili wataalamu wakupe majibu sahihi, ungeanza na kunyanyua vitofa apo home, Tengeza zege weka kwenye makopo mawili na nondo katikati, uzito wa kg 5-20, kila siku jioni au asubuhi unanyanyua. baada ya week mbili hivi utaona mabadiliko.

na kama unatembea sehemu za hatari usiache kiwembe au bisibisi.
 
Mtihani wa kwanza ninaokupa kabla ya kukuruhusu kujiunga na club yangu ya karate ni kuogelea kwenye hiyo bahari hadi kuvuka ng'ambo ya pili.
 
duuuh hata la kwanza haend maabara kwanza
 
mkuu msubiri shehe ponda amalize kifungo, nasikia yy mtaalam wa konFU, karate,judo, hung hang na mambo km hayo
 
Kama kichwa cha thread kinavyosema juzi nilipoteza simu yangu kipenzi baada ya mtu mzima kuwekwa chini!!
sasa mim nataka kujifua ili nisikalishwe chini lakini niwakalishe chini.
kwa sasa naomba mtu anielekeze pa kujifua mimi nipo Dar pande za Kigambonii..

kweli inabidi ukajifunze hizo vitu, mjini inabidi ujue kurusha hata mbili tatu, la sivyo unaweza shangaa siku unaliwa hata kibogah... #justsaying
 
Kama kichwa cha thread kinavyosema juzi nilipoteza simu yangu kipenzi baada ya mtu mzima kuwekwa chini!!
sasa mim nataka kujifua ili nisikalishwe chini lakini niwakalishe chini.
kwa sasa naomba mtu anielekeze pa kujifua mimi nipo Dar pande za Kigambonii..

walikuibia huko kigamboni?
 
Pepper spray ndo mambo yote. Tafuta hiyo uwakomeshee.

au kama vipi awe anatembea na kipiga shoti "electric taser gun" kama changu, nishawahi kuwapiga nacho mateja kama wawili kwenye korodani mbona mpaka leo wanatoa heshima maana hata hawakujua ni nini kimewasibu...
 
Hivi mlivyovitaja vinapatikana kweli huko kwetu,na sheria ya jeshi la polisi inasemaje juu ya umilikaji wa vitu hivi..?? H apa naomba msaada zaidi kwa Ruttashobolwa
 
Last edited by a moderator:
au kama vipi awe anatembea na kipiga shoti "electric taser gun" kama changu, nishawahi kuwapiga nacho mateja kama wawili kwenye korodani mbona mpaka leo wanatoa heshima maana hata hawakujua ni nini kimewasibu...
mkuu hiyo electric gun ndio mpango mzima, vinauzwa wapi bob?
 
King hulali? Au mzee amekufrastreti?

Hahahaha, kabla hajanifrustrate nitahakikisha namfrustrate yeye kwanza na wazazi wake wote wawili,lol. Boksi kakangu, si unajua wengine sie makorokoroni?
 
Hukonkwetu unamaanisha wapi, tandahimba? Sidhani kama sheria inazuia kutembea na pepper spray. Sina hakika na electric teaser. As long as hazisajiliwi kama binduki who cares.:majani7:

Back
Top Bottom