Paulsylvester
JF-Expert Member
- Oct 15, 2021
- 1,464
- 3,379
Tunatarajia kuwa na katiba mpya hivi karibuni!
Ngoja tusizungumzie hiyo ijayo tuzungumzie iliyopo!
Katiba iliyopo inaitambua nafasi ya Urais kuwa ni ya watanganyika na makamo wa Rais shariti atokee Zanzibar!
Kwa minajiri hiyo, huku bara, yaani Tanganyika, ndiko anakotokea Rais wa muungano wa Tanzania akisaidiana na makamo wake kutokea Zanzibar,
Katiba hiyo hiyo inasema, iwapo likitokea la mwenye uhai kuutaka uhai wa Nafasi ya Urais wa Tanzania yaani Tanganyika, basi makamo wake anachukua nafasi hiyo na atakuwa Rais wa Tanzania, na ingawa pia hili linatakiwa kurekebishwa ktk rasimu tunayoitarajia ili tu Mtanganyika awe Rais wa Jamhuri hata likitokea la uhai wa Rais wa Tanzania kutakiwa na mwenye uhai
Swali la kujifunza ni hili hapa, hii ni kutokana na kile tusichokitarajia kutokea ghafula bini vuu!
2025 mh Rais wetu mama Samia Dkt. atagombea urais akijulikana kama mtanganyika ama kama mzanzibariii na Je katiba iliyopo italitatuaje jambo hili ikiwa katiba inamtambua mtanganyika pekee ndie atakuwa Rais wa Tanzania au katiba itafanyiwa marekebisho ili kukidhi matakwa ya sasa!?
Niko darasani Watanzania wenzangu, na je kweli katiba hii huwa naimanya niisomapo Kwa kipengele hiki?