Nataka kujilipua na Volvo XC 90. Ushauri wenu wadau

Girland

JF-Expert Member
Joined
Jan 24, 2016
Posts
2,489
Reaction score
4,253
Itoshe kusema kwamba, Waswedish wanatengeneza vyombo vyenye uhakika katika mabasi na Malori kuna SCANIA NA VOLVO hawana mpinzani. kwenye SUV tunajua Japs na Germans wanachuana vikali lakini tunamuunderestimate huyu mnyama VOLVO XC 90

watakuja watu wa Subaru na Toyota, nataka muangalie hii video nayoiweka hapa chini mpaka Range kakaa, na hiyo TLC kakalishwa sasa inakuwaje kwa ndogo?

Team Volvo mnipe uzoefu wa hii gari? Reliability, Comfortability yake Safety na Upatikanaji wa spares zake

Angalia hiyo video 👉👉👉👉👉

Your browser is not able to display this video.
 
Sioni kama ni sawa kutumia video moja kuhitimisha ubora wa aina hiyo ya volvo dhidi ya brand nyingine ambazo zinafanya vizuri sana sokoni. Pitia pia reviews, specs, demand n.k Inawezekana hiyo video ni marketing tu.
 
Sioni kama ni sawa kutumia video moja kuhitimisha ubora wa aina hiyo ya volvo dhidi ya brand nyingine ambazo zinafanya vizuri sana sokoni. Pitia pia reviews, specs, demand n.k Inawezekana hiyo video ni marketing tu.
Nimeanza kwa kusema kwenye SUV tunawaona Germany na Japs ndio wanatangazwa Sana na tunasahau kuwa Sweden hawatoi kazi mbovu.

Hii gari iko underestimated sana
 
Mkuu hapa bongo mafundi Volvo ni magumashi sana hiyo gari utakuja kuichukia.Mafundi Volvo wengi wako Zambia na Kongo ndo maana wao hizo gari hawaziogopi.
Mkuu una uhakika? Umeona XC90 zilivyojaa hapa mjini? Nimeishi na Volvo tangu 2007 mpaka 2014. Mafundi wapo na Volvo ni gari moja simple sana kwenye matengenezo. Nazijua inside out hasa za mpakq mwaka 2012. Sasa hivi zimeanza kujaa xc60 za kuanzia 2012 na kuendelea nyingi ukiona inasumbua ujue mmiliki nae sio makini.
 
Asante mkuu, Kwa ufafanuzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…