Nataka kujilipua na Volvo XC 90. Ushauri wenu wadau

Nataka kujilipua na Volvo XC 90. Ushauri wenu wadau

Umekaa nayo muda gani?
Na je ni vipi fuel consumption yake (numbers au hata kama unaweza kufanya comparison na gari nyingine?)

Takriban mwaka mmoja. Ni cc 2000. Ina turbo, ukiipeleka inaitika usipokaa sawa Dar-Dom full tank taa inawaka unaongeza mafuta.

Lakini Bado nikitaka kununua gari lingine, ntanunua Volvo.
 
Mkuu hapa bongo mafundi Volvo ni magumashi sana hiyo gari utakuja kuichukia.Mafundi Volvo wengi wako Zambia na Kongo ndo maana wao hizo gari hawaziogopi.
Nna mtu wangu wa karibu ana volvo kama hio ya kwenye picha kila kukicha ni mbovu tu wakati haina hata miaka 2
 
The Monk nakuja DM unipe mwongozo juu ya Volvo XC 60 T5 maana na Mimi nina mpango wa kuingia kwenye ulimwengu huo wa magari ya ulaya Ila chaguo langu nomeangukia kwenye Volvo....
Kwenye ishu ya ulaji wa mafuta siogopi wala spare parts siogopi ninachohitaji Mimi ni kuhusu performance yake tu
 
Wabongo vituko kila gari linalotajwa utasikia ninalo nimetumia miaka au eti nina mtu wangu wa karibu analo😂😂
 
The Monk nakuja DM unipe mwongozo juu ya Volvo XC 60 T5 maana na Mimi nina mpango wa kuingia kwenye ulimwengu huo wa magari ya ulaya Ila chaguo langu nomeangukia kwenye Volvo....
Kwenye ishu ya ulaji wa mafuta siogopi wala spare parts siogopi ninachohitaji Mimi ni kuhusu performance yake tu

Performance nzuri sana kiongozi.
 
Performance nzuri sana kiongozi.
Mkuu Mimi natumia Subaru forester XT (turbocharged) ni yenye uwezo mkubwa Sana barabarani.....Ila Kwa target zangu zikikaa sawa nitahamia kwenye magari ya ulaya hasa Volvo XC 60 T5.
Volvo ni gari ya ndoto yangu Kwa sasa
 
Back
Top Bottom