Kuna nini cha ajabu hapo? Kwenye makampuni makubwa wawekezaji hutoka maeneo mbalimbali, lakini brand ni ya sehemu husika Mfano baada ya TATA group kumiliki JLR (jaguar Land Rover), bado brand na technology inayotumika ni kutoka UK,Unajua lkn Volvo inamilikiwa na Mchina Kama vile Landrover inavyomilikiwa na Mhindi?
Unajua raha ya kuwa na babu kwenye kilinge ni raha sana, shukrani kwa kututia moyo sisi wenye tamaa na mindika isiyokuwa ya mjapaniMkuu una uhakika? Umeona XC90 zilivyojaa hapa mjini? Nimeishi na Volvo tangu 2007 mpaka 2014. Mafundi wapo na Volvo ni gari moja simple sana kwenye matengenezo. Nazijua inside out hasa za mpakq mwaka 2012. Sasa hivi zimeanza kujaa xc60 za kuanzia 2012 na kuendelea nyingi ukiona inasumbua ujue mmiliki nae sio makini.
Yap. Kama ni Tanzania sio gari hilo tu. Gari lolote lisilo Toyota sio priority kwa wengi.Tanzania wanapenda Toyota kwa sababu za kiuchumi! Utaambiwa ukitaka kuiuza inatoka fasta
Kwa hio Volvo Ni msweden au Mchina? Landrover Ni Mhindi au Muingereza?Kuna nini cha ajabu hapo? Kwenye makampuni makubwa wawekezaji hutoka maeneo mbalimbali, lakini brand ni ya sehemu husika Mfano baada ya TATA group kumiliki JLR (jaguar Land Rover), bado brand na technology inayotumika ni kutoka UK,
'Very British SUV' πππVolvo is Swedish Brand, Kama ambavyo Land Rover ni English brand. Utaona mazishi ya Prince Philip aliyekuwa mume wa Malkia alibebwa kwenye defender
Si mnunue magari ya uwezo wenu kuliko kuhangaika na vitu msivyo na uwezo navyo kisa kuwakoga watu? Mtu unanunua gari huku pressure imepanda to maximum.Vipi spares zinapatikana?
Land Rover kwa sasa ipo chini ya wahindi ni kama mwarabu wanavyomiliki timu ya mpira England.Volvo is Swedish Brand, Kama ambavyo Land Rover ni English brand. Utaona mazishi ya Prince Philip aliyekuwa mume wa Malkia alibebwa kwenye defender
Kunaifanya kuwa ya waarabu kwa kipindi hicho. Umiliki una nafasi yake.Man city kumilikiwa na waarabu hakuibadili kutoka Ligi ya England!
Mkuu umekereka Mimi kuuliza upatikanaji wa spares au kuna lingine mkuu?Si mnunue magari ya uwezo wenu kuliko kuhangaika na vitu msivyo na uwezo navyo kisa kuwakoga watu? Mtu unanunua gari huku pressure imepanda to maximum. Mara unaulizia kama spare zinapatikana...
Boss, yupo sahihi. Ni vizuri kununua gari baada ya research. Watanzania wengi uwezo ni kuwa na gari moja, sasa lazima ajue kuhusu spare na mafuta ili apime kama ni gari analoweza kulimiliki.Si mnunue magari ya uwezo wenu kuliko kuhangaika na vitu msivyo na uwezo navyo kisa kuwakoga watu? Mtu unanunua gari huku pressure imepanda to maximum...
Siwezi kukereka hata kidogo kwani hata kukujua sikujui. Nimesema ukweli kutokana na experince yangu ya watu wanaotaka kununua magari Bongo. BTW wabongo wengi ukiwa-criticize kwenye jambo lolote conlusion yao ni kuwa una wivu au huwatakii mema.Mkuu umekereka Mimi kuuliza upatikanaji wa spares au kuna lingine mkuu?
Ni klabu ya England inayomilikiwa na waarabu. Kwani kuna tatizo LR ikimilikiwa na wahindi? Maana naona ni kama unataka wasitamkwe wakati ni yao.Ukiulizwa Leo man city ni klabu ya wapi utajibu U. A. E? ππ?? Rudia kusoma pale juu uelewe concept yangu
Swali likiulizwa linataka majibu, Comment yako Siyo jibu la swali husika!Siwezi kukereka hata kidogo kwani hata kukujua sikujui. Nimesema ukweli kutokana na experince yangu ya watu wanaotaka kununua magari Bongo. BTW wabongo wengi ukiwa-criticize kwenye jambo lolote conlusion yao ni kuwa una wivu au huwatakii mema.
Yupo sahihi ndiyo na wala sipindi. Na ndivyo wanavyofanya watu wengi wenye uwezo mdogo. Na hiyo hasa ndiyo point yangu. Kujaribu kufanya hili kundi kubadilika kifikra. Kununua vitu kulingana na uwezo wao na siyo kuonyesha ufahari.Boss, yupo sahihi. Ni vizuri kununua gari baada ya research. Watanzania wengi uwezo ni kuwa na gari moja, sasa lazima ajue kuhusu spare na mafuta ili apime kama ni gari analoweza kulimiliki.
Swali ni kwamba ni klabu ya wapi! Wamiliki wanaweza kubadilika hata Dangote akijipanga akainunua Chelsea itabaki kuwa timu ya England. Mmiliki atakuwa Mnigeria!!Ni klabu ya England inayomilikiwa na waarabu. Kwani kuna tatizo LR ikimilikiwa na wahindi? Maana naona ni kama unataka wasitamkwe
Okey bossYupo sahihi ndiyo na wala sipindi. Na ndivyo wanavyofanya watu wengi wenye uwezo mdogo. Na hiyo hasa ndiyo point yangu. Kujaribu kufanya hili kundi kubadilika kifikra. Kununua vitu kulingana na uwezo wao na siyo kuonyesha ufahari.