Nataka kujitoa muhanga kwenye biashara hii jamani

Elementi

Member
Joined
Apr 9, 2019
Posts
60
Reaction score
156
Kuna uwekezaji nimetamani kuufanya,, najua nikiufanya naweza kuambulia chochote kinywani

Natarajia kuwekeza kama 1.7 MIL.. Na nikifanikiwa kuna uwezekano nikapata pesa nyingi hapo baadae yaani baada ya miezi 2\3

Marafiki zangu wengi wananishauri nisilifanye jambo ninalo lifikiria bali wananielekeza njia nyingine ambayo mimi naiona ni gumu Sana na naiona ni hatari kwenye uchumi na maisha yangu

Jambo ninalotaka kulifanya ni aina ya biashara ambayo hata wao wanaifanya na nawashuudia wana maisha mazuri kuliko mimi

Lakini wananiambia nisifanye kama wanavyofanya wao kwani na wao wanatafuta njia ya kujiboreshea biashara hiyo

Jamani Naona kama wananipotezea mda tuu kunipa ushauri wao,, ingawa ni 90% wananikataza

Swali ni kwamba mbona wao bado wanafanya na wana maisha mazuri kuliko mimi, ,,kwanini wananielekeza njia ambayo naiona ni hatari kwenye uchumi Wangu..

nataka niwapotezee hawa watu jamani,, nisimame na msimamo Wangu mnanishauri nini?
 
Ukiona rafiki yako anakukataza jambo basi wewe lifanye na akikwambia lifanye basi usilifanye. Sio kila rafiki anakutakia mafanikio kwenye maisha yako. Mfano ukimuona muuza simu anakukataza wakati yeye anafanya huyu ana mawili
1 Woga wa wewe kufanikiwa kushinda yeye.
2 Yupo jealous hataki kukuona unafanikiwa.
Mimi kuna baadhi ya rafiki zangu kila unacho ongea nao basi hawapo supportive wao hukatisha tamaa tu. Sasa nimewatenga nawaangalia kwenye side mirror kudadeki zao.

Ndukiiiii 🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️
 
Shida umeandika siasa, ndo maana unaona kila m2 anaongea anachohisi
 
Kuna uwekezaji nimetamani kuufanya,, najua nikiufanya naweza kuambulia chochote kinywani

Natarajia kuwekeza kama 1.7 MIL.. Na nikifanikiwa kuna uwezekano nikapata pesa nyingi hapo baadae yaani baada ya miezi 2\3

Marafiki zangu wengi wananishauri nisilifanye jambo ninalo lifikiria bali wananielekeza njia nyingine ambayo mimi naiona ni gumu Sana na naiona ni hatari kwenye uchumi na maisha yangu

Jambo ninalotaka kulifanya ni aina ya biashara ambayo hata wao wanaifanya na nawashuudia wana maisha mazuri kuliko mimi

Lakini wananiambia nisifanye kama wanavyofanya wao kwani na wao wanatafuta njia ya kujiboreshea biashara hiyo

Jamani Naona kama wananipotezea mda tuu kunipa ushauri wao,, ingawa ni 90% wananikataza

Swali ni kwamba mbona wao bado wanafanya na wana maisha mazuri kuliko mimi, ,,kwanini wananielekeza njia ambayo naiona ni hatari kwenye uchumi Wangu..

nataka niwapotezee hawa watu jamani,, nisimame na msimamo Wangu mnanishauri nini?
Biashara hiyo nzuri sana, we ifanye tu.
 
mkuu...biashara ya vyupi ipo vizuri sana bana...hao jamaa wahuni tuu
 
ni
Kuna uwekezaji nimetamani kuufanya,, najua nikiufanya naweza kuambulia chochote kinywani

Natarajia kuwekeza kama 1.7 MIL.. Na nikifanikiwa kuna uwezekano nikapata pesa nyingi hapo baadae yaani baada ya miezi 2\3

Marafiki zangu wengi wananishauri nisilifanye jambo ninalo lifikiria bali wananielekeza njia nyingine ambayo mimi naiona ni gumu Sana na naiona ni hatari kwenye uchumi na maisha yangu

Jambo ninalotaka kulifanya ni aina ya biashara ambayo hata wao wanaifanya na nawashuudia wana maisha mazuri kuliko mimi

Lakini wananiambia nisifanye kama wanavyofanya wao kwani na wao wanatafuta njia ya kujiboreshea biashara hiyo

Jamani Naona kama wananipotezea mda tuu kunipa ushauri wao,, ingawa ni 90% wananikataza

Swali ni kwamba mbona wao bado wanafanya na wana maisha mazuri kuliko mimi, ,,kwanini wananielekeza njia ambayo naiona ni hatari kwenye uchumi Wangu..

nataka niwapotezee hawa watu jamani,, nisimame na msimamo Wangu mnanishauri nini?
nishaijua hiyo bashara yako kwanza kama hujajifunza na kuelewa usijaribu tenga muda...tafuta kozi yake na jifunze soma vitabu faida ipo utajishukuru wewe mwenyewe baada ya mwaka mmoja
 
Back
Top Bottom