Tetesi: Nataka kujiunga FOREX

Tetesi: Nataka kujiunga FOREX

Sijawahi kujiunga wala kusoma ivyo vitu vya Forex sijui lakini mi nahisi ni kama utapeli tu,kama unahela ni bora hela yako uiweke fixed account tu,ila haya ni maoni yangu binafsi tu
 
Mkuu Zile Biashara zako za Magari zinakulipa kiasi gani kwa siku??
Nimeuliza tu
 
Forex is not for everyone...... Wale walojiunga mwanzo kabsa ndo walikuw watu dedicated na wenye kuforesee mambo potential..... Nyie wengne mngetulia tuu..... Mtakuja mlie bila sabab
 
hahaaa wewe Jamaa unayako

usiniambie kuwa janjid haupajui mkuu
 
Biashara ya online mkuu inatakiwa kutake risk sana mi nilianza na D9 nkapata hela nikainvest acc tatu bahati mbaya ikatokea mizengwe nikala loss kama 12m! Japo Amazon ilinipa ahueni kurudisha nusu hasara ya D9! But forex naona ipo tofauti na hiz pozi schemes nafikiria kujiunga na mimi pia msisitizo hakikisha mchakato wa kutoa hela kwa njia ya mtandao umeelewa otherwise huwa zinasumbua xana!
 
huyu mteja hata mimi nafsi yangu imemkataa kumbariki.. huyu ni mgomvi huyu
huyu TISS mkuu .anataka awapelekee pira pale ..
so anasubiri kututeka kiakili aone tukifunguka kisha atu mention katka mambo yao
namshauri aende jangid tyu
 
Biashara ya online mkuu inatakiwa kutake risk sana mi nilianza na D9 nkapata hela nikainvest acc tatu bahati mbaya ikatokea mizengwe nikala loss kama 12m! Japo Amazon ilinipa ahueni kurudisha nusu hasara ya D9! But forex naona ipo tofauti na hiz pozi schemes nafikiria kujiunga na mimi pia msisitizo hakikisha mchakato wa kutoa hela kwa njia ya mtandao umeelewa otherwise huwa zinasumbua xana!
Siku hizi kuna brokers mpaka wa mpesa. Ni mwendo wa masaa mawili tu, umekamatia hela yako
 
JF kikiingia kitu mada haziishi... nakumbuka kuna kipindi mada za freemason zilinoga humu saiv hamna kitu.
 
Back
Top Bottom