Tetesi: Nataka kujiunga FOREX

Tetesi: Nataka kujiunga FOREX

Mkuu umeshasoma viyabu? Tuanzie hapo kwanza.....


Anyway kifaa chako cha communication... Smart phone, pc n.k

Bank acc au hata mpesa inakuwezesha pia.
 
baada ya kutafakari kwa muda nimeamua kufanya maamuzi ya kutaka kujiunga forex

wakuu ni vitu gani napaswa kuandaa na kulipia hadi niwe mwanachama

Pia je itamfaa mtu anaesafiri mara kwa mara?
Kaa mbali na huu ulevi
 
Back
Top Bottom