kalagabaho
JF-Expert Member
- Nov 4, 2010
- 5,457
- 5,893
Kwa nini kipindi cha msiba mama wema alikuwa recognised ndo kama mjane?why wewe unasema ni kimada?
hahahah
leo zamu ya Heaven on Earth
Mzee Sepetu alikuwa ni mnyamwezi wa TBR na nduguze wengi wapo TBR,Ila ukipitia bio yake utagundua alihamia Zenji zamani kama wewe ulivyojenga hapo ulipo,ukaoa na kuzaa wakati kwwnu ni Nanjilinji
Mama Wema alikuwa ni mke wa pili,wa kwanza alikywa mama Amani,mama Wema akajakuingilia kati......
Alikuwa mkristo mzuri kabisa so Mama Wema alikuwa ni kama Kimada tu kwa mzee Sepetu
Weka vizuri hii...hakuwa kimada...alikua housegirl...kampindua mama mwenye nyumba...Mama Amani .....Tabia ya Ukahaba ya wema ni ya kurithi cc Heaven on Earth
Weka vizuri hii...hakuwa kimada...alikua housegirl...kampindua mama mwenye nyumba...Mama Amani .....Tabia ya Ukahaba ya wema ni ya kurithi cc Heaven on Earth
Unamanisha nini?Kwa tabia alizonazo lazima awe wa huko
Kama ye ni kahaba nyie inawahusu nini........
Yeye ni mtu maarufu...ni kioo cha jamii....kwa tabia za ukahaba lazima tumkosoe ili jamii ione ukahaba ni mbaya
huu muda mngeutumia kudumisha maadili kwenye familia zenu
huu muda mngeutumia kudumisha maadili kwenye familia zenu
Na tusiwakosoe makahaba walio mfano mbovu kwa jamii?
jamii ipi??????
ISACK ABRAHAM SEPETU ni mzanzibari mwenye asili ya sikonge Tabora.Kusema kwamba watoto waislamu hayo ni makubaliano yao na mzazi mwenzie.Muungano ukifa wema itabidi arudi kwao Mwanakwerekwe au aukane uraia wa baba yake