kalagabaho
JF-Expert Member
- Nov 4, 2010
- 5,457
- 5,893
Kwa nini kipindi cha msiba mama wema alikuwa recognised ndo kama mjane?why wewe unasema ni kimada?
Kasema alikua mke wa pili halafu anasema tena alikua kimada!..naona ameona haipendezi kumaliza hivi hivi bila kumdhalilisha mama wema