Nataka kujua kama Wema Sepetu ni Mzanzibari

Nataka kujua kama Wema Sepetu ni Mzanzibari

Kwa nini kipindi cha msiba mama wema alikuwa recognised ndo kama mjane?why wewe unasema ni kimada?

Kasema alikua mke wa pili halafu anasema tena alikua kimada!..naona ameona haipendezi kumaliza hivi hivi bila kumdhalilisha mama wema
 
Mzee Sepetu alikuwa ni mnyamwezi wa TBR na nduguze wengi wapo TBR,Ila ukipitia bio yake utagundua alihamia Zenji zamani kama wewe ulivyojenga hapo ulipo,ukaoa na kuzaa wakati kwwnu ni Nanjilinji

Mama Wema alikuwa ni mke wa pili,wa kwanza alikywa mama Amani,mama Wema akajakuingilia kati......

Alikuwa mkristo mzuri kabisa so Mama Wema alikuwa ni kama Kimada tu kwa mzee Sepetu

Weka vizuri hii...hakuwa kimada...alikua housegirl...kampindua mama mwenye nyumba...Mama Amani .....Tabia ya Ukahaba ya wema ni ya kurithi cc Heaven on Earth
 
Last edited by a moderator:
Weka vizuri hii...hakuwa kimada...alikua housegirl...kampindua mama mwenye nyumba...Mama Amani .....Tabia ya Ukahaba ya wema ni ya kurithi cc Heaven on Earth

Sasa nimeelewa kwa nini wamama wengi wanawaogopa ma hg wa kutoka Singida kumbe ndo siri hiyo...
 
Last edited by a moderator:
Jamani hivi ukijua ni mzanzibari inakusaidia nini hauna tofauti na mtu anaeuliza fimbo ya nabii musa ulikuwa ni mti gani! sidhani kama ni uungwana haya yamefika mpaka watu wanamchambua bimkubwa wake kuwa hakuwa halali JF isiwe mahala pa kudhalilisha watu bali kuelimisha dini zote zinaeleza kuheshimu wazazi.
 
ISACK ABRAHAM SEPETU ni mzanzibari mwenye asili ya sikonge Tabora.Kusema kwamba watoto waislamu hayo ni makubaliano yao na mzazi mwenzie.Muungano ukifa wema itabidi arudi kwao Mwanakwerekwe au aukane uraia wa baba yake

okey basi nimeelewa sasa
 
Back
Top Bottom