Nataka kujua namna ya kuongeza size ya uume wangu

Mpwa hii dawa yako ni zaidi ya MziziMkavu
 
Last edited by a moderator:
Utampata ambae mtaendana.......alafu juz tu hapa jukwaan niliona mtu anahitaji mtu wa aina yako.
 
Unamfikisha wapi bhana? mbona watu wanatumia midoli na wanafika? Dude liwe la uhakika halafu unamtupia tu dem hapo aendelee mwenyewe huku wewe unasoma gazeti na linampasua milizamu ya mafuriko kama kawa
 
Unauhakika gani kama uwo mdude wako anaufurahia?
Kwa uzoefu wangu mdogo tu, nimegundua ukiwa na MU-OVER SIZE, Huwezi hata kuonganisha shoka!
Afu soma na signature chini apo!!!
 
Unauhakika gani kama uwo mdude wako anaufurahia?
Kwa uzoefu wangu mdogo tu, nimegundua ukiwa na MU-OVER SIZE, Huwezi hata kuonganisha shoka!
Afu soma na signature chini apo!!!
Acha kufariji watu kwa ukweli wa kusadikika tafuta ukweli wa ndoto ya mwanamke yoyote ujue vizuri wala huna haja ya kuungaunga sijui vitu gani kazi yako kumtupia hapo ajipimie mwenyewe pia tembelea hapa Home
 
Najihisi kama uume wangu ni mdogo kiasi kwamba kila mwanamke ninayekutana naye inaonekana kama haridhiki na size

umefanya na wanawake wangapi?

size aside,umefanyia kazi mapungufu mengine uwapo kilingeni?

Kitaalam hata 4 inches+utundu+mkao wa mwanamke unatosha kumridhisha mwenza,size yako ngapi?
 
Nimeisoma.
Sijakuta OUR FACT IN ISHUE (Je ni lazima m/me na mgobole ndio amfikishe m/ke?) au sijui sikusoma page zote! Ah ah! Wacha utani ma-page mengi yale!
Nimeikuta fact moja inasema 'MOYO WA MWANAMKE UNATEKWA KITANDANI!' Ni kweli but hii itabaki kuwa not fact in issue but so conected to the fact in issue!
So kuwini moyo wa mwanamke (kitandani) sio lazima uwe na Mgobole!
Afu ulisema wanawake wanapenda migobole! Hiki tunachojadili nilimsapoti MUNKAR (M/ke) then hao w/ke wapendao magobole ni Bahari kubwa yenye mawimbi makubwa, Mh sisi wenye Mtumbi hatutosafiria bahari hiyo! Tutatafuta bahari saizi yetu! Mwisho wa siku wote tumesafiri!

Acha kufariji watu kwa ukweli wa kusadikika tafuta ukweli wa ndoto ya mwanamke yoyote ujue vizuri wala huna haja ya kuungaunga sijui vitu gani kazi yako kumtupia hapo ajipimie mwenyewe pia tembelea hapa Home
 
KUNA HAJA WALE WATAALAMU WA MAPENZI KUTOA MAFUNZO YA HATUA KWA HATUA JINSI ya kumfikisha "KE" UKIZINGATIA WENGI WANA PAPUCHI KUBWA
 
Hii kitu dawa yake tafuta SIZE yako epuka oversized ladies. Utamkuta men ni kkadogoo anatafuta mijimama na hapo ndo mwanzo wa kuonekana una kijiti
 
Nenda pale mikocheni b assembly of god. Kwa mama rwakatare.. Ufanyiwe maombi ya kuongeza mbo. Fungua zipu aishike akuombee!
 
duh!!!...dude are'u for real?

Nenda pale mikocheni b assembly of god. Kwa mama rwakatare.. Ufanyiwe maombi ya kuongeza mbo. Fungua zipu aishike akuombee!
 
Uke. Ni utumbo ule ucshindane nao, sehemu anapita mtto, wwe hata uume uwe mkubwa kama mguu bado utatulizwa tu mkubwa, cheza na hisia mademu akili ndogo tu unawakalisha, we nzako tuna ---- harder

Sent from my BlackBerry 9380 using JamiiForums
 
Najihisi kama uume wangu ni mdogo kiasi kwamba kila mwanamke ninayekutana naye inaonekana kama haridhiki na size ya mboo yangu, kimsingi naboeka sana kiasi kwamba naona nitafute njia ya kuongeza je, Nifanyeje?

wewe Date of Birth July 13, 1992 (21) unaanza kuwaza hivyo, ukifikisha angalau 30 yrs si utakula mizizi yote? kula chakula vizuri, fanya mazoezi ya mwili kila mara , tatizo lenu nashindia chips mwili utajengeka kweli?
 
Hiyo kitu kamwe huwezi kuiongeza ukubwa/udogo. Hakuna dawa ya asili/kitaalamu ambayo inaweza kuikuza hiyo kitu. Ila unaweza kuiongezea nguvu kwa tiba asili/kitaalamu ama kwa misosi na mazoezi.
 
Hahahaaaa!!! Mkuu utamuua mwenzako kwakweriii.!! Lol
 
tatizo la sembe ni kubwa kuliko linavoripotiwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…