Fidel80
JF-Expert Member
- May 3, 2008
- 21,947
- 4,470
Chukua hamira kijiko kimoja cha chai changanya na baking soda nusu kijiko...halafu weka maji kidogo.
Kabla hujalala hakikisha unachukua mchanganyiko huo na kuupakaza kwenye kifanyio chako kuanzia kwenye shina hadi kichwa...vaa pampaz kisha lala.
Zingatia:
Hakikisha korodani hazikutani na mkorogo huo kwani hapo utajitakia busha lisilotarajiwa.
Weka mbali mkorogo huo na I'nye maana utajikuta unakuza kishonde pia.
....................Kila la kheri.............
Mpwa hii dawa yako ni zaidi ya MziziMkavu
Last edited by a moderator: