Nataka kukopa Shilingi milioni 5 nianze biashara

Utakatwa mpaka unye awamu hii sio ya kuchukua mikopo eti uanze biashara.HUKU MTAANI HAKUNA BIASHARA INAYOENDA HASWA MPYA. UTAANZA KUPOKEA MSHAHARA KIMINI HADI HAMU YA KAZI IKUTOKE.
Na mm naliofia hilo, japo nilikuwa na mkopo wa miaka miwil ambao nili uwekeza kwenye kilimoo, nilifanikiwa japo sio kama nilivotegemeaa sasa nilitaka nibadilishe biashara kdgo
 
Bisahara ya mahitaji ya nyumban kwa hapo ulipo sema iyunga ni sawa ila unatakiwa utoke uingie njia ya kwenda chuo cha must au njia ya kwenda iyunga secondary haya maeneo bado yanihitaji hiyo huduma kwa wingi

Maana hapo weng wamefungua mitaa ya stand na hapo kwenye soko lao lakini ukitoka nje kidogo huduma hamna

Wekeza hasara ni sehemu ya darasa

Faida ni sehemu ya ukomavu wa ubunifu wako
 
Wewe mtoa mada msome huyu hapa.
 
Mkuu nakushauli kopa maana malengo unayo ww tu mwenyewe na uoga wako ndo umasikini wako ,na ukikwama Leo hii Mimi sitakusaidia kabisa chochote kile na ukiendelea ni faida kwako na familia na nchi pia na pia ni kugundua changamoto tunazopitia wafanyabiashara mbalimbali kwa kila siku mkuu , chukua maamuzi sahihi .
 
Kuna mtu atatapeliwa hapa
 

Mkaruka!! Kampuni yako inaitwaje...? Pertinership?!! Please advise... Nina ka milioni 4 kananisumbua. Sijawahi kufanya biashara yeyote. Nafikiria nifanye nini? Naomba ushauri jinsi ya kuwekeza kwani hii ndio pesa pekee niliyobaki nayo....
 
Mkaruka!! Kampuni yako inaitwaje...? Pertinership?!! Please advise... Nina ka milioni 4 kananisumbua. Sijawahi kufanya biashara yeyote. Nafikiria nifanye nini? Naomba ushauri jinsi ya kuwekeza kwani hii ndio pesa pekee niliyobaki nayo....
Uko Wapi ?
 
Duu, pamoja na riba ntarudisha kama 6.2 mil kwa miaka miwil na nusu,

Nifanyeje sasa mana mshahara naona tu haunitoshi zaid ya kunifanya niwe nasubr sms ya nmb kila mwisho mwez ili nilipe maden
Kulingana na take home yako naona utakua unakatwa hela nyingi kwanini usianze na mtaji mdogo? Ungekua unaendeleza biashara sawa ila kwa kuanza tu na kukopa Tena bank sikushauri sana ni Bora ukaweka kidogo kidogo sakosi au fixed account then Kama ni duka la mahitaji ya nyumbani waweza anza hata na milioni moja ukiona Mambo mazuri waweza kopa sasa uongeze mtaji.In investment usitangulize miguu yote Kwanza nionavyo Mimi
 
Mkuu mwenyew nipo kwenye mchakato Wa kukopa bank ila nakopa ili kuboresha biashara sio kuanza biashara huenda una plan nzur ila biashara kwa sasa ngumu Sana + kodi za mkuu sikushauri ukope utajutia tena ndio wakopa kueka mtu kilio utacholia sio cha nchi hii
 
Nashukuru mkuu nafanyia kaz ushaur wakoo
 
Duu nalo linaniumiza kichwa sana mchagger ngoja niendelee kuchaka akil, na ndo maana nikaomba ushaur kabla ya kuanza kufanya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…