Nataka kukopa Shilingi milioni 5 nianze biashara

Nataka kukopa Shilingi milioni 5 nianze biashara

Awe fit kwenye kupambana na chuma ulete pia.
Haa ha ha...Hiyo ndo balaa na utapeli wa mtandaoni maana biashara za miamala kupoteza pesa ni Dak sifuriu yanii[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Unafilisika jumlaa
 
Mkuu sijaweka hapa namba ya simu nichangiwe au sijamwambia mtu aniPM.

Nimempa wazo ambalo ana uwezo wa kulikataa kwa 100%

Sijamshikia mtu bunduki kumlazimisha awekeze kwenye wazo langu.

Na kuwekeza kwenye wazo la mtu siyo kumpa msaada, ni jambo la kawaida kwa mtu makini yeote.

Ndio maana sheria ya makampuni ( LLC ) inataka wanahisa kuanzia wawili.

Sasa unaona kama unataka kunipa msaada, wabongo bana daaaaah !!
Blah blah nyingi lakini lengo ni kumfanya mwenzio fursa, hujamwambia aje PM mbona hiyo kampuni huitaji ataijuaje bila wewe kuweka namba au kuja PM.

Acha blah blah za Q-Net.
 
Na usichokijua wachaga biashara hizo za maduka ziliwatoa na bado zinawatoa mpk leo mpk wamefungua ma biashara makubwa makubwa.

Na hesabu zao hua ni simple tu ubahiri,consistency na
persistence.

We endelea tu kusubiria hizo biashara zinazo-scale.
Usiongee theory wewe hakuna cha maendeleo yoyote kwenye hizo Biashara za rejareja.
 
Usiongee theory wewe hakuna cha maendeleo yoyote kwenye hizo Biashara za rejareja.
Uzuri Ma Mangi shughuli zetu za maduka zinaeleweka wala hatuna haja ya kujieleza sana kuhusiana na jambo hilo.

Sasa wewe endelea kukaa tu hapo hapo huku ukisoma sana vitabu vya wakina Poor dad,rich dad hahah na usisahau kuendelea na ndoto za kupata mamilioni ya kuanzisha car wash wkt hata pa kuanzia kwenyewe ni shughuli.
 
Nataman kuwa na mke ambae sio mtumish, mungu akijalia ntapata awe ananisadia kwenye shughuli zang hizo coz bado sijaoa
Kila lililo heri kwako ndugu, nakuombea upate mke mwema mwenye kukupa faraja pasipo kujali ni mtumishi au la!!
 
Yupo Mwehu Mmoja, tupo ote WhatsApp group la Chuo lkn daily ananikomalia inbox kuhusu BUSINESS INAYOLIPA... Namuambia si aitangaze ndani ya group tupo 100+..... Wengi watanufaika... Hataki! Kumbe Qnet manina zake!
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]Hawa watu ni nuksi, mtu anasema ana kampuni lakini anaona aibu kuitaja.
 
Yupo Mwehu Mmoja, tupo ote WhatsApp group la Chuo lkn daily ananikomalia inbox kuhusu BUSINESS INAYOLIPA... Namuambia si aitangaze ndani ya group tupo 100+..... Wengi watanufaika... Hataki! Kumbe Qnet manina zake!
😆😆Ndo zao, anakuvuta chemba akubamize.

Tena muda unakaribia wa kuwabamiza first year wa watu toka mikoani wakisikia fursa wanakimbia kumbe wanaingia shimoni.
 
Na walaaniwe watakaowasababishia madogo mateso Chuoni
[emoji38][emoji38]Ndo zao, anakuvuta chemba akubamize.

Tena muda unakaribia wa kuwabamiza first year wa watu toka mikoani wakisikia fursa wanakimbia kumbe wanaingia shimoni.
 
Uzuri Ma Mangi shughuli zetu za maduka zinaeleweka wala hatuna haja ya kujieleza sana kuhusiana na jambo hilo.

Sasa wewe endelea kukaa tu hapo hapo huku ukisoma sana vitabu vya wakina Poor dad,rich dad hahah na usisahau kuendelea na ndoto za kupata mamilioni ya kuanzisha car wash wkt hata pa kuanzia kwenyewe ni shughuli.
[emoji23] [emoji23] nisamee kaka wa JF.
 
Waweza kuielezea kidg iyo partner ship
Kama Kweli Una Nia Ya Mafanikio Wekeza Kwenye Biashara Yangu ( Parnership ) Kwa Kuwa Utakuwa Kwenye Makaratasi Yote Kisheria Na Utajua Kila Kinachoendelea Kwenye Kampuni.

Biashara Ya Mahitaji Ya Majumbani Ni Za Kizamani Na Hazina Mwendeldzo Na Hazifai Kabisa Kwa Kijana Anaefikiria Kwa Karne Ya 21.

Ukiwekeza 10 Milioni Kuna Uwezekano Kabisa Wa Kuzalisha Mpaka Milioni 1 Kwa Mwezi Wakati Kwa Duka La Kawaida Huwezi Kupata.

Kumbuka Ukikopa 10M NMB Utakuwa Ukikatwa 253,000 Kila Mwezi Kwa Miaka 5 Na Kwa Kuwa Mshahara Wako Ni Tsh 353,000 Utcakiwa Na Nini Kwa Kuishi Miaka 5 Ijayo ?

Kama Kweli Una Nia Ya Kutoka Kimaisha, Wekeza Kwangu Na Kampuni Itakuwa Inalipa Mkopo Wako Wakati Wewe Ukiwa Aidha Na Kipato Kile Kile Pamoja Na Umiliki Wa Kampuni Au Zaidi.

Ila Duka La Mazaga Tena Kwa Kumweka Mtu, Utajuta Kwa Miaka 5 Ijayo.
 
Ni Kampuni ( LLC ) kama zilivyo kampuni nyingine. So Ni Jambo La Kuwepo Kwenye MEMARTS kwamba unamiliki asilimia fulani ya hisa kwenye kampuni fulani.
Anhaa ok sawa ni kama DSE?
Kinahitajika nini kwenye huo utaratibu wa kununua hizo hisa???
Na ofisi zenu zipo wapi??
 
Anhaa ok sawa ni kama DSE?
Kinahitajika nini kwenye huo utaratibu wa kununua hizo hisa???
Na ofisi zenu zipo wapi??
Siyo Kama DSE.

Ni Kama Ilivyo Wasafi Media Ambayo Kwa Mujibu Wa TCRA Kuna Wanahisa Watatu !

1. Nasibu Abdul
2. Juhaiyna Kusaga
3. Ally Abdul
Kila Mtu Anamiliki Sehemu Ya Kampuni Kulingana Na Kiasi Cha Mtaji Na Asset Alichongia Kwenye Kampuni.
Ila Uendeshaji Wa Kila Siku Wa Kampuni, CE0 Ni Nasibu Abdul.
Ila Kwa Mujibu Wa Sheria Za Makampuni, Mwenye Umiliki Mkubwa ( Hisa ) Anakuwa Na Nguvu Ya Sauti, Kama Akiona CEO anaendesha kampuni vibaya kiasi cha kuhatarisha mtaji wa kampuni, anaweza kwa kushirikiana na bodi kuajiri CEO mwingine bila kuathiri wanahisa wengine!
 
Back
Top Bottom