BARA BARA YA 5
JF-Expert Member
- Sep 11, 2009
- 1,174
- 835
Unakopa wapi huko mkuu?Wadau nafikiria nikope trekta la HP 35 ambalo talitumia kulima ekari zangu 50 na chache za majirani.Baada ya hapo nitakutumia kubebea mazao na vifaa vya ujenzi kwa maana ya kulikodisha.
Nitalifunga GPS maana nitakuwa nalo mbali.
Trekta na tela lake ni TZS 33m ambapo nitalipa kama 13m za kuanzia na zilizobakia nitarejesha kwa miezi 18.
Nataraji nikiuza mazao nitakayolima na makusanyo nimalize deni. Kadi watabaki nayo benki na nitakata bima kubwa.
Business plan yako tafadhdliiWadau nafikiria nikope trekta la HP 35 ambalo talitumia kulima ekari zangu 50 na chache za majirani.Baada ya hapo nitakutumia kubebea mazao na vifaa vya ujenzi kwa maana ya kulikodisha.
Nitalifunga GPS maana nitakuwa nalo mbali.
Trekta na tela lake ni TZS 33m ambapo nitalipa kama 13m za kuanzia na zilizobakia nitarejesha kwa miezi 18.
Nataraji nikiuza mazao nitakayolima na makusanyo nimalize deni. Kadi watabaki nayo benki na nitakata bima kubwa.
Na miye napata wapi huu mkopo?Wadau nafikiria nikope trekta la HP 35 ambalo talitumia kulima ekari zangu 50 na chache za majirani.Baada ya hapo nitakutumia kubebea mazao na vifaa vya ujenzi kwa maana ya kulikodisha.
Nitalifunga GPS maana nitakuwa nalo mbali.
Trekta na tela lake ni TZS 33m ambapo nitalipa kama 13m za kuanzia na zilizobakia nitarejesha kwa miezi 18.
Nataraji nikiuza mazao nitakayolima na makusanyo nimalize deni. Kadi watabaki nayo benki na nitakata bima kubwa.
Trekta ipi hiyo unayotaka kukopa wewe?Wadau nafikiria nikope trekta la HP 35 ambalo talitumia kulima ekari zangu 50 na chache za majirani.Baada ya hapo nitakutumia kubebea mazao na vifaa vya ujenzi kwa maana ya kulikodisha.
Nitalifunga GPS maana nitakuwa nalo mbali.
Trekta na tela lake ni TZS 33m ambapo nitalipa kama 13m za kuanzia na zilizobakia nitarejesha kwa miezi 18.
Nataraji nikiuza mazao nitakayolima na makusanyo nimalize deni. Kadi watabaki nayo benki na nitakata bima kubwa.
Ni mkopo mkuu elewa mada.Trekta na tela mil 33?
Acha utani boss ni trekta gani hilo
Utafilisika unless uwe unatumia kwa kazi zako binafsi za shamba ili kuongeza productivity yako. Na hivi utakuwa mbali ndiyo kabisa, wabongo hawaogopi mambo za GPS etc.Wadau nafikiria nikope trekta la HP 35 ambalo talitumia kulima ekari zangu 50 na chache za majirani.Baada ya hapo nitakutumia kubebea mazao na vifaa vya ujenzi kwa maana ya kulikodisha.
Nitalifunga GPS maana nitakuwa nalo mbali.
Trekta na tela lake ni TZS 33m ambapo nitalipa kama 13m za kuanzia na zilizobakia nitarejesha kwa miezi 18.
Nataraji nikiuza mazao nitakayolima na makusanyo nimalize deni. Kadi watabaki nayo benki na nitakata bima kubwa.
Used bei gani hp 55Upo wapi boss?
Unataka jipya au used?
Supplier wangu amethibitisha hilo..HP 35 na Jembe ni 27m na tela la tani 5 ni 6m.Trekta la Lovol ndogoMawazo ya manufaa sana.Kumbe kuna trekta na tela mpya kwa 33M tuu.
Lovol 35HPMkuu hiyo aina gani ya trekta na unachukulia wapi?, nami ni ishu ambayo inanisumpua kichwa changu sana, lakini watu wananitisha kwamba trekta litakupa hasara tu.
Makampuni yanayouza matrekta ndio wanakupa na link ya Mikopo. Mimi so far nimewasiliana na NMB,CRDB,EFTAS nkUnakopa wapi huko mkuu?