Nataka kukopa trekta kwa kilimo na kazi ndogo

Nataka kukopa trekta kwa kilimo na kazi ndogo

Jamani na mm naomba wazo kidogo kuhusu trekta nahitaji kununua swalaj 855fe na nina shamba kama ek50 ni idea nzuri au? Naombeni ushauri wenu Asante
 
Back
Top Bottom