BARA BARA YA 5
JF-Expert Member
- Sep 11, 2009
- 1,174
- 835
- Thread starter
-
- #21
Lovol 35HP...wanauza 27 na jembe lake.6 machinga1telaMkuu sikutishi ili irudie vyema business plan yako
pia angalia aina ya trekta unayonunua kwa tsh 33m trekta ,jembe na tela.....inafikirisha
Asante kwa ushauri.Niliambiwa hili pia na akashauri nilime eneo langu la kutosha na labda kubeba Mizigoushauri wangu kwako na kwenu wote mnaotaka kununua au kukopa tractor based on my experience, msichukue trekta kwa minajili ya kukodisha au kufanyia kaz za watu haijakaa vzr utalichosha mapema na inaweza isikulipe zaid ya kukupa unnecessary stress. Sbb wakulima wengi wanamiliki mashamba chini ya eka 3. Mara nyingi utajikuta ili ulime eka nyingi lazima utembee na tractor umbali mrefu na muda mwingi utajikuta unalitembeza trekta kwny njia mbovu ambayo nayo yana udongo/ardhi tofauti tofauti ngumu, laini, yenye mawe nk. Lkn pia trekta ni mashine haijatengenezwa kutembea tembea barabarani tena mbovu. Haya yote kwa ujumla wake yanalichosha trekta ila kama unashamba kubwa chukua trekta tumia kwa kazi zako. Na amini with proper management unaweza kukopa ilo trekta kama una 30 acres
Lovol 35HPTrekta na tela mil 33?
Acha utani boss ni trekta gani hilo
Dar..jipyaUpo wapi boss?
Unataka jipya au used?
Noted...kuna mtu alinitahadharisha piaUtafilisika unless uwe unatumia kwa kazi zako binafsi za shamba ili kuongeza productivity yako. Na hivi utakuwa mbali ndiyo kabisa, wabongo hawaogopi mambo za GPS etc.
Kama huna mpango WA kukaa nalo karibu sikushauri.. Kuna kuiba mafuta, Kuna kuiba spea Kwa kifupi binadamu wengi uaminifu Ni zeroooooo utalia mkuu labda dereva awe mwanao[emoji55][emoji2418]Wadau nafikiria nikope trekta la HP 35 ambalo talitumia kulima ekari zangu 50 na chache za majirani.Baada ya hapo nitakutumia kubebea mazao na vifaa vya ujenzi kwa maana ya kulikodisha.
Nitalifunga GPS maana nitakuwa nalo mbali.
Trekta na tela lake ni TZS 33m ambapo nitalipa kama 13m za kuanzia na zilizobakia nitarejesha kwa miezi 18.
Nataraji nikiuza mazao nitakayolima na makusanyo nimalize deni. Kadi watabaki nayo benki na nitakata bima kubwa.
Tena sasa hivi kwa BBT, unapewa kwa mkopo laini sana. Nenda benki zilizo kwenye mpango wa BBT.Wadau nafikiria nikope trekta la HP 35 ambalo talitumia kulima ekari zangu 50 na chache za majirani.Baada ya hapo nitakutumia kubebea mazao na vifaa vya ujenzi kwa maana ya kulikodisha.
Nitalifunga GPS maana nitakuwa nalo mbali.
Trekta na tela lake ni TZS 33m ambapo nitalipa kama 13m za kuanzia na zilizobakia nitarejesha kwa miezi 18.
Nataraji nikiuza mazao nitakayolima na makusanyo nimalize deni. Kadi watabaki nayo benki na nitakata bima kubwa.
Tena sasa hivi kwa BBT, unapewa kwa mkopo laini sana. Nenda benki zilizo kwenye mpango wa BBT.
Kuna namba wameweka wizara ya kilimo ya kutowa msaada.
.siku hizi wizara ya kilimo kuna customer care, mambo ya Bashe na mama Samia hayo.
Of course hawakuambii uongo. Kitu chochote kama huja-plan kwa umakini unapata hasara tupu. Kama unatishika na maneno ya watu inaonekana kabisa hujafanya research ya kutosha kuhusu hilo suala.Mkuu hiyo aina gani ya trekta na unachukulia wapi?, nami ni ishu ambayo inanisumpua kichwa changu sana, lakini watu wananitisha kwamba trekta litakupa hasara tu.
New holland tt75 4wd mpya ni milioni karibia 59 bila jembe.Jipya sh ngapi? Na used sh ngapi Kwa new Holland
Je tt 55 zinakuwa na bei gani kwa used na kwa mpya.New holland tt75 4wd mpya ni milioni karibia 59 bila jembe.
Used new holland tt75 4wd ambayo ipo katika hali nzuri ya kupiga kazi bila service kubwa ni kati ya milioni 24 na kuendelea huko
Mpya sifahamu. Ila used unaweza pata hata kwa 18 milioni na kuendelea au hata chini ya hapo.Je tt 55 zinakuwa na bei gani kwa used na kwa mpya.
Trekta ukiiweka sehemu yenye uhitaji utapasua labda uwe mbaliMkuu hiyo aina gani ya trekta na unachukulia wapi?, nami ni ishu ambayo inanisumpua kichwa changu sana, lakini watu wananitisha kwamba trekta litakupa hasara tu.