Nataka kulipiza kisasi

Mkuu nisamehe Sana sio kwamba nilikudharau lakini mkeo alikuwa ananitaka mwenyew napili mkeo nimtamu Sana ndo maana nlishindwa kujizuia, naomba tuyamalize haya mambo njoo PM tuyajenge mkuu... Lakin mkeo mtamuuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ungekuwa single ningekuja pm tukazungumza kwanza.

Comment tamu sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mkuu umenkumbusha kisa huenda nawe kika kufaa.
Kuna siku tumekaa na jamaa yetu,tunapiga story sema alikuwa siyo mtu wa furaha hata kidogo,na alikuwa ameoa kama week tatu tu,kumbe kuna kigogo fulani alikuwa anakula mke wake na jamaa akajua,alivyojua jamaa akapigwa mkwala kuwa ntakuweka ndani maisha maana jamaa mwizi wa mke alikuwa na hela na connection za kutosha mke nae akaanza full jeuri.
Basi kila tukilokuwa tunashauri mwishi wa siku tukaona jamaa atakuja kuishia jela,but mwisho wa siku ikapatikana option ya jamaa kupigwa ngoma tu.akatafutwa mschana mzuri mwenye HIV+ akapewa chake kwa uzuri wa yule mwanamke jamaa asingechomoa maisha ni mwanamke kutoka kwa kagame,Jamaa mwizi alikula yule dem week nzima guest tena wakawa wanarecord mpka na video jamaa akawa anajiona amepata mwenyewe baada ya week,demu akamtoroka mshkaji akapewa chake huyo kwao alivyofika huko jamaa akatumiwa tu cheti cha ukimwi whatsapp then akapigwa block

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Ooooh!😍😍😍
 
Duh, eti unigongee mke halafu unitishie kunifunga. At the end he got the wages he deserved. Tatizo baadhi ya vigogo akili zao zimejaa masizi tu.
 
Ukishalipiza kisasi then, what next? Akikushinda inakuwaje? Upo tayari kufungwa? Kufa je, ipo tayari? Kabla hujafanya, calculate faida na hasara za kufanya hivyo...
 
What if there are alot of them out there?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
What if huyo kigogo alikuwa na ngoma kabla?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna jamaa yangu mmoja aliwahi tokewa na jambo kama lako, alichokifanya ni kutembea na yeye na mke wa yule jamaa alie tembea na mke wake na wote walikuwa na watoto, mpaka sasa wake zao wote kwa pamoja walisha rudi makwao wamewaachia waume zao watoto maana ilikuwa ni aibu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
yaani tangu kipindi anamtongoza wife... wewe ukamuonya.. OYA ACHANA NA MKE WANGU..

lakini jamaa kakaza hadi kapita na mkeo??

hii ni dharau iliyokithiri kwa wote wawili... mkeo na huyo mwamba


Sent from my iPhone using JamiiForums
Ni dharau kubwa sana sana na haitakiwi kuachwa bila kuishughulikia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…