Nataka kulipiza kisasi

Mtu akionywa asiposikia dawa yake ni kumfundisha adabu.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sure anahitaji lesson coz kiburi chake ni kikubwa
 
Jamaa hana tatizo kabisa, tatizo liko kwa mkeo.

Usipambane na mwanaume mwenzio, pambana na mkeo.

Maana mkeo ndio aliyekubali kuvua chupi kwa hiari yake.

Na kwenye hili usitumie nguvu nyingi, chukua uamuzi wa busara ikiwemo kumuacha huyo mkeo kama unaona hutaweza kuendelea kumuona machoni pako.

Piga chini, focus na maisha yako, tafuta mwanamke aliyetulia maisha yaendelee kwa amani.



Unforgetable
 
mkuu, kama una hela usiumize sana kichwa chako juu ya kisasi " tafuta wahuni, waachie hyo kazi, hakikisha anafanywa alichofanywa mkeo, au zaidi. kua makini isije ikatokea backlash maana utaishia jela au kuingiwa cost kubwa zaidi. plan inatakiwa iwe discreet na makini

mwisho kabisa ukishampopoa huyo mpuuzi mchukue na clip ili iwe fundisho jema kwa wengine.
 
Kwahiyo mwanaume kumtongoza huyo mke hana makosa ila mke kumkubali huyo mwanaume ndiyo ana makosa
Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji134]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mavazi na tabia ya mtu ni vitu viwili tofauti sana, usiniambie mtu kuvaa suruali au min skirts ndo atavulia pichu kila mwanaume!!!!
 
Kabla ya kisasi kitachokutokea puani jipe muda wa kutafakari matendo yako kwa mkeo kabla ya yeye kuanza kuchepuka, isije ikawa wewe ndo chanzo cha yeye kufika uko afu unakurupuka kuumia saivi na akati haukuwa na muda na mkeo wakati huo
 
Kwahiyo mwanaume kumtongoza huyo mke hana makosa ila mke kumkubali huyo mwanaume ndiyo ana makosa

Sent using Jamii Forums mobile app
Hana kosa hata kidogo, wanawake wameumbiwa kutongozwa na wanaume tumeumbiwa kutongoza.

Yani piga ua garagaza hata ufanyaje lazima mkeo atongozwe, iwe kazini, njiani, mtaani kwako, kwenye vyombo vya usafiri n.k.

Kwa hiyo mwenye turufu ya mwisho na mwanamke mwenyewe awe na msimamo wa kukataa.

Kwa hiyo kwa kifupi huyo mke wa jamaa hajatulia, hata wakiachana na huyo jamaa alomla bado ataendelea kuchepuka kwingine ambako jamaa hatajua.

Solution hapo na kudili na mke wake tuu basii.


Unforgetable
 
Huyo jamaa ukimuacha atalala na wake za watu wengine...hawa wanaomtetea hapa hawana wake??
Mkuu kanunue zile waya za kuchania miamba ya madini...umfunge nao uuwashe...au uuzungushie mwenye Nyumba yake uuwashe
Mpe ushauri kama anaweza hayo, isije ikawa swala anang'ang'ana kupigana na tembo
 
Bado haujaelewa unachokiongelea mkuu,, labda nikuambie tu wanaume kuwa watongozaji siyo sababu ya kutongoza hata wake za watu na kusema eti ni sawa..

Yaani hapo huyo mwanaume na huyo mke wote wana makosa hata mtetee vipi,, maana wanaume kwenye mambo ya mapenzi hamjawahi kusimama kwenye ukweli hata siku moja kila kitu huwa mnaleta siasa na kulazimisha lawama ziende kwa wanawake..
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…