ERoni
JF-Expert Member
- Jan 9, 2013
- 48,052
- 104,677
That's a story for another day mkuu. I'll deal with my wife first, then mgoni wangu. Simuachi katu atembee kifua mbele.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
That's a story for another day mkuu. I'll deal with my wife first, then mgoni wangu. Simuachi katu atembee kifua mbele.
Mtu ambaye yupo tayari kuiharibu nyumba(familia) yako ni adui yako, tena ni adui mkubwa sana.
Hata mimi, atakayejaribu kuiharibu familia yangu ambayo natumia nguvu kubwa sana kuijenga, lazima aumie, hakika ataumia tu. People don't know that we go through sleepless nights just to make sure our families live well, wanataka kuteleza kwenye ganda la ndizi.
Do him good brother, teach him a good lesson that he will cherish for the rest of his life. Hata shetani alimuomba Mungu ili akamdhuru Ayubu, go for it brother.
Sure anahitaji lesson coz kiburi chake ni kikubwaMtu ambaye yupo tayari kuiharibu nyumba(familia) yako ni adui yako, tena ni adui mkubwa sana.
Hata mimi, atakayejaribu kuiharibu familia yangu ambayo natumia nguvu kubwa sana kuijenga, lazima aumie, hakika ataumia tu. People don't know that we go through sleepless nights just to make sure our families live well, wanataka kuteleza kwenye ganda la ndizi.
Do him good brother, teach him a good lesson that he will cherish for the rest of his life. Hata shetani alimuomba Mungu ili akamdhuru Ayubu, go for it brother.
Ulitumia busara kumuonya hakusikia sasa kazi moja tuView attachment 1339199
Sent using Jamii Forums mobile app
Kabisa mkuu, akiachwa atatembea kifua mbele huku anajisifu. Watu wanakesha kujenga familia mtu anakuja tu anataka avune asipopanda.
Jamaa hana tatizo kabisa, tatizo liko kwa mkeo.
Usipambane na mwanaume mwenzio, pambana na mkeo.
Maana mkeo ndio aliyekubali kuvua chupi kwa hiari yake.
Na kwenye hili usitumie nguvu nyingi, chukua uamuzi wa busara ikiwemo kumuacha huyo mkeo kama unaona hutaweza kuendelea kumuona machoni pako.
Piga chini, focus na maisha yako, tafuta mwanamke aliyetulia maisha yaendelee kwa amani.
Unforgetable
[emoji134]Mtu ambaye yupo tayari kuiharibu nyumba(familia) yako ni adui yako, tena ni adui mkubwa sana.
Hata mimi, atakayejaribu kuiharibu familia yangu ambayo natumia nguvu kubwa sana kuijenga, lazima aumie, hakika ataumia tu. People don't know that we go through sleepless nights just to make sure our families live well, wanataka kuteleza kwenye ganda la ndizi.
Do him good brother, teach him a good lesson that he will cherish for the rest of his life. Hata shetani alimuomba Mungu ili akamdhuru Ayubu, go for it brother.
Mavazi na tabia ya mtu ni vitu viwili tofauti sana, usiniambie mtu kuvaa suruali au min skirts ndo atavulia pichu kila mwanaume!!!!Kama mkeo ndio wale wa kuvaa mibano na nguo fupi kuonesha mapaja ,maungo unategemea nini?
Usichukue uamuzi wa kujichukulia sheria mkononi maisha mafupi haya nakuwa mimi ndio wewe nampa talaka natafuta mwanamke mwingine naoa nilizaliwa peke yangu
Ujana miaka thelathini haina haja ya kutumia umri gerezani sababu ya mwanamke
Sent using Jamii Forums mobile app
Hana kosa hata kidogo, wanawake wameumbiwa kutongozwa na wanaume tumeumbiwa kutongoza.Kwahiyo mwanaume kumtongoza huyo mke hana makosa ila mke kumkubali huyo mwanaume ndiyo ana makosa
Sent using Jamii Forums mobile app
Nipe huu mchango niliuwaza piaMkuu nimepata wazo la kukupa tumia nguvu za giza kama ulisha muonya na hasikii fanya hivyo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nini tena mtakatifu Anna.??
Wewe ulitulia kwenye ndoa yako usilipe kisasi kama nawe uliwahi kusaliti.
Haijalishi nimekula vya wangapi, vyangu haviliwi[emoji39], yaani nikuonye kabisa then ujifanye wewe ndio mwamba....Kweli kabisa mpendwa hawa wanaume nao wanasahau kuwa mla vya watu na vyake huliwahahswjqjkbsbwbsna
Sent using Jamii Forums mobile app
Mpe ushauri kama anaweza hayo, isije ikawa swala anang'ang'ana kupigana na temboHuyo jamaa ukimuacha atalala na wake za watu wengine...hawa wanaomtetea hapa hawana wake??
Mkuu kanunue zile waya za kuchania miamba ya madini...umfunge nao uuwashe...au uuzungushie mwenye Nyumba yake uuwashe
Hana kosa hata kidogo, wanawake wameumbiwa kutongozwa na wanaume tumeumbiwa kutongoza.
Yani piga ua garagaza hata ufanyaje lazima mkeo atongozwe, iwe kazini, njiani, mtaani kwako, kwenye vyombo vya usafiri n.k.
Kwa hiyo mwenye turufu ya mwisho na mwanamke mwenyewe awe na msimamo wa kukataa.
Kwa hiyo kwa kifupi huyo mke wa jamaa hajatulia, hata wakiachana na huyo jamaa alomla bado ataendelea kuchepuka kwingine ambako jamaa hatajua.
Solution hapo na kudili na mke wake tuu basii.
Unforgetable