Tena vizuri mtu ametumia busara kukuonya kuhusu mkewe halafu unajifanya mjanja...chukua watu 4 wakachezee washeri
Sent using Jamii Forums mobile app
Haijalishi nimekula vya wangapi, vyangu haviliwi[emoji39], yaani nikuonye kabisa then ujifanye wewe ndio mwamba....
Aah nmesema ivo kwakuwa ule waya hawezi kuupataMpe ushauri kama anaweza hayo, isije ikawa swala anang'ang'ana kupigana na tembo
😂 😂 😂 😂 😂 ivi Watu8 Karucee walienda wapi jaman nawamiss hawa watuTena vizuri mtu ametumia busara kukuonya kuhusu mkewe halafu unajifanya mjanja...chukua watu 4 wakachezee washeri
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukute Karma ina mrudia anatokwa povuKweli kabisa mpendwa hawa wanaume nao wanasahau kuwa mla vya watu na vyake huliwa
Sent using Jamii Forums mobile app
Hakika Kuna watu wanadharau humu duniani tena ya kiwango cha juu hivyo basi wanatakiwa watendewe sawa sawa na kiwango cha dharau yao.
Iko hivi, Kuna kijana niliona ana mfatilia mke wangu nami nikamwonya zaidi ya mara tatu. Hivi karibuni nikathibitisha kuwa ni kweli ametembea na mke wangu.
Sasa kwa kuwa nilishamuonya na hakusikia wala kuelewa, nataka nimfanyie jambo Liwe kumbukumbu maishani mwake.
Kwa huyu mwanamke yeye ameshapata anachostahili.
Nikiwatazama wanangu naumia sana maana wanaenda kuishi maisha wasiyostahili hata kdg.
Kwa maelezo hayo nipo tayari kutumia chochote ili tu lengo langu lifanikiwe.
Tafadhali, nishauri nini nimfanyie huyu ndugu kwa uzito ule ule alionitendea mimi.
Ha ha haa..Mtu ambaye yupo tayari kuiharibu nyumba(familia) yako ni adui yako, tena ni adui mkubwa sana.
Hata mimi, atakayejaribu kuiharibu familia yangu ambayo natumia nguvu kubwa sana kuijenga, lazima aumie, hakika ataumia tu. People don't know that we go through sleepless nights just to make sure our families live well, wanataka kuteleza kwenye ganda la ndizi.
Do him good brother, teach him a good lesson that he will cherish for the rest of his life. Hata shetani alimuomba Mungu ili akamdhuru Ayubu, go for it brother.
Ukute Karma ina mrudia anatokwa povu
The law of karma states that...."..."
Tafadhali, nishauri nini nimfanyie huyu ndugu kwa uzito ule ule alionitendea mimi.