Nataka kulipiza kisasi

Nataka kulipiza kisasi

Kuna kachalii huku kanaishi kwa fantasy’s
Kanatakiwa kaache upumbavu
 
Hakika Kuna watu wanadharau humu duniani tena ya kiwango cha juu hivyo basi wanatakiwa watendewe sawa sawa na kiwango cha dharau yao.

Iko hivi, Kuna kijana niliona ana mfatilia mke wangu nami nikamwonya zaidi ya mara tatu. Hivi karibuni nikathibitisha kuwa ni kweli ametembea na mke wangu.

Sasa kwa kuwa nilishamuonya na hakusikia wala kuelewa, nataka nimfanyie jambo Liwe kumbukumbu maishani mwake.

Kwa huyu mwanamke yeye ameshapata anachostahili.

Nikiwatazama wanangu naumia sana maana wanaenda kuishi maisha wasiyostahili hata kdg.

Kwa maelezo hayo nipo tayari kutumia chochote ili tu lengo langu lifanikiwe.

Tafadhali, nishauri nini nimfanyie huyu ndugu kwa uzito ule ule alionitendea mimi.

Kama unajua ndani ya moyo wako ile iliyo kweli kwamba wewe si msaliti hujawahi kumsaliti Mke wako Jaribu kulipa kisasi japokuwa haitasaidia ila ikiwa na wewe una Vimeo vyako hakutakuwa na kisasi chochote
 
Mtu ambaye yupo tayari kuiharibu nyumba(familia) yako ni adui yako, tena ni adui mkubwa sana.

Hata mimi, atakayejaribu kuiharibu familia yangu ambayo natumia nguvu kubwa sana kuijenga, lazima aumie, hakika ataumia tu. People don't know that we go through sleepless nights just to make sure our families live well, wanataka kuteleza kwenye ganda la ndizi.

Do him good brother, teach him a good lesson that he will cherish for the rest of his life. Hata shetani alimuomba Mungu ili akamdhuru Ayubu, go for it brother.
Ha ha haa..
Muraa wewe ni wa ukanda ule wa mapanga shaa na mashoka, kanda maalum ya kipolisi?
Una hasira kinyama, au Mangi maana hawa jamaa nao wana wivu akijua anauwa mtu kwa kisasi, sema mangi anauwa mkewe na nduguze.
 
Hapo wewe malizana na mkeo, mana tatizo sio huyo jamaa, tatizo ni mkeo hajatulia, utaadhibu wangapi? Unazani mkeo pekee ndoa alietongozwa alhali yuko kwenye ndoa? hata sisi wengine tupo kwenye ndoa na tunatongozwa kila siku, sio mitaani kazini ndo usiseme lakini tunajua nini maana ya ndoa na tunaheshimu ndoa zetu hatuthubutu kufanya upumbavu huo
 
Kama umeshampa funzo mkeo we deal na mambo ya familia yako, walimwengu wako na malimwengu mengi ambayo hatutaweza yabeba yote mabegani mwetu!

Mwache hana hatia huyo shida ni huyo Hawa wako aliyeshindwa kutunza heshima na kiapo chake.

Tena huyo ungemwacha hapo hapo home alee watoto

HALAFU
1. Usimpe unyumba,
2. Usimsemeshe,
3. Mpe mahitaji yake kama mwanamke tu wakawaida,
4. Usimsikilize,
5. Usile chakula chake
6. Tafuta house boy akufulie nguo zako na
7. Usimpe wajibu wowote pale home

Baada ya hapo ataelewa maana yake

Pia muulize kwa nn anaenda huko, labda hashibi chakula tamu jamani ikawa ndio sababu ya yeye kutoka na kwenda kujazilizia kibaba kwa jirani




Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tafadhali, nishauri nini nimfanyie huyu ndugu kwa uzito ule ule alionitendea mimi.

Jamaa anamkula mkeo halafu unamwita ndugu, wewe ni bwege na huna cha kumfanya huyo mwamba.... sana sana utaishia kumtishia tu mkeo na kumwacha huwezi.

Cc: Binadamubwana
 
Back
Top Bottom