Akifika jela na yeye nyapara wanampokea kwa shangwe na vifijo .Angalia usilale jela kwa starehe ya mke wako.
Ukawaacha uraiani wanakula bata.
Inabidi utumie akili sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukishalipiza kisasi then, what next? Akikushinda inakuwaje? Upo tayari kufungwa? Kufa je, ipo tayari? Kabla hujafanya, calculate faida na hasara za kufanya hivyo...
Hili pia nililiwaza.Kuna jamaa yangu mmoja aliwahi tokewa na jambo kama lako, alichokifanya ni kutembea na yeye na mke wa yule jamaa alie tembea na mke wake na wote walikuwa na watoto, mpaka sasa wake zao wote kwa pamoja walisha rudi makwao wamewaachia waume zao watoto maana ilikuwa ni aibu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ahahahahahaa the fact that you DONT KNOW the outcome of what you think you are ready of, UNAENDA TU BLINDLY... unataka tu utimize haja ya moyo wako... KUNA KUSHINDWAAm ready for anything as long as mission successful.
Good ideamkuu, kama una hela usiumize sana kichwa chako juu ya kisasi " tafuta wahuni, waachie hyo kazi, hakikisha anafanywa alichofanywa mkeo, au zaidi. kua makini isije ikatokea backlash maana utaishia jela au kuingiwa cost kubwa zaidi. plan inatakiwa iwe discreet na makini
mwisho kabisa ukishampopoa huyo mpuuzi mchukue na clip ili iwe fundisho jema kwa wengine.
Hili pia nililiwaza.
Good idea
Yes. Na hichi ndicho namfanyia. Maumivu yale na mvunjiko alionisababishia na yeye a feel