ERoni
JF-Expert Member
- Jan 9, 2013
- 48,052
- 104,677
Kuna jamaa fulani dereva wa bodaboda alikuwa kwenye situation kama hii. Mwenye mali alimuonya kama mara mbili hivi kuwa stop what you're doing with my wife, unaharibu familia yangu. Jamaa kagoma kuwa hahusiki kumtafuna mke wa jamaa. Siku moja akafumaniwa hivi akila vya watu, jamaa mwenye mke hakuwa na papara, alikaa kimya tu.
Baada ya mwezi alikutwa huko matosa vichakani ameharibiwa nyuma, amechafuka nguo zimejaa mavi. Alihama na naamini kaharibikiwa hata saikolojia yake.
Baada ya mwezi alikutwa huko matosa vichakani ameharibiwa nyuma, amechafuka nguo zimejaa mavi. Alihama na naamini kaharibikiwa hata saikolojia yake.