Nataka kulipiza kisasi


Nakubali. Lkn hujamalizia, aachane na mke wake ili aishi kwa amani na watoto. Bila hivyo watoto watakuwa wanashuhudia Baba kila siku ana hasira. Kila akirudi ndani amenuna.
 
Mkuu nmesomaaaa thread yako ila nilipokutana na neno Watoto wangu basi bila shaka nilisimama na kukushangaa kidogo mkuu, siwezi na sitokushauri juu ya Kisasi kwa sababu siku zote watu ambao hatujapitia such situations hatuna haki ya kukushauri ila juu ya watoto mkuu, ni bora ukaachana na huyo mkeo kama unaona utaumia na hautoweza kusamehe kila umuonapo kwa sababu those kids needs your love and care na kama ni mtu wa busara mkuu peleka nguvu zako katika kulea watoto wako na uachane na wanawake(kama utaamua kulipiza kisasi pia) mana wewe ndie utapoteza. Kisheria adultery ni kosa na kama una ushahidi unaweza tafuta talaka, kidini kama umeishi more thatn two years unaruksa ya kuomba talaka.

Zote hizo ni option kwako mkuu, mkeo alipaswa kutambua na kukutunzia heshima yako kama mmeo hivyo kulipiza kisasi kwa huyo dogo ni kupoteza mda na madhara yake yatakuwa ni makubwa. Pia jitathimini wewe kama Mme kama pia kuna sehemu ulifeli mkuu sio kulaumu tu, unajua mpaka mwanamke ambae ni mkeo acheat kama si ni vijitabia vyake au kama alikuwa mtulivu mda wote basi kutakuwa na kasoro upande wako.

Don't judge others before you judge yourself, kama kuna sehemu ulianguka ukishajitathimini unapaswa kujirekebisha na kumsamehe mkeo muendelee na life na kulea wanenu. Kama hujafeli sehemu then maamuzi juu yako, good day.

Don't hunt what you can't kill.
 
Kisasi pekee ulichopaswa kulipiza ni kuhakikisha unajitoa akili na uishi vema na mkeo, hakuna kitu utafanya kwa vile ushaweka hofu kuhusu watoto.... kumpenda mkeo na kumchakata ipasavyo bila kujali itamuumiza yeye na kukupa furaha zaidi.
 
Sina Cha kukushauri kwa upande wangu lakini unaweza kusoma ushauri huu ambao alinipa mdogo wangu ambaye alikaa jela segerea kwa muda wa miaka 3.

Awali ya yote Kuna mwanamke ambaye nilikuwa naishi naye japo si wa ndoa ila niliishi naye almost 2yrs,lakini kwa kipindi chote ambacho tulikuwa pmj Kuna baadhi ya tabia alikuwa nazo mimi sikuzipenda hivyo sometime nilikuwa namlapa kidogo.

Siku moja huyu mdogo wangu ambaye yeye alikaa jela segerea aliniambia~Kaka nakushauri Kama huyu mwanamke anakuzingua ni Kheri ukamuacha unaweza kumpiga alafu ukapata matatizo,Mimi kule segerea nimeishi na watu ambao majuto yamekuwa sehemu ya maisha yao na hii kwasababu walifanya maamuzi ambayo si sahihi kuhusiana na wenza wao.
Wengine waliwaua waliowafumania na wake zao hivyo nao wamehukumiwa kifungo Cha maisha.
Baada ya ushauri huo was dogo yule bitch nilipiga chini


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu mkeo ndiyo mwenye shida........au inawezekana pia kuna vitu anakosa kwako anatafuta nje huko.

Tafakari kwanza niuhuni wa mkeo? Ni wewe humpi haki yake vya kutosha? Ukipata majibu ya hayo.......tafakari na uwafikirie watoto wako........


Pambana na maisha usipambane na watu wanaweza kukufanyia timing hata wewe ukapata kilema kwasababu ya mke mliyekutana ukubwani.


Daah ila mke anauma kugongewa kirahi rahisi tu
 
Samahani,wewe hujawahi kumsaliti lakini hajui?Ushauri wangu muache hapo hapo alee watoto wenu lakini usitembee naye,watoto watapata taabu na hawana hatiaUsitese watoto wako,Mwambie aendelee kukaa hadi watoto wakue,wawe wakubwa kidogo,Yeye aendelee kutombwa na huyo jamaa,lakini sio nyumbani yaani yeye awe anapelekwa tu Guest,Hi ni kwa shauri y watoto,Hutakula ukashiba,hutapata usingizi,hutavaa vizuri kila ukifikiri watoto wako

Upande wa jamaa
Mwambie maneno haya,ukitembea na mke wa mtu mwingine hakikisha mumewe hajui utakuja kupata matatizo watu wote sio kama mim,Kisha endelea na maisha yako,
 
Huyo bwege mfanyie timing umpige tako 30 tu!


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
kwenye hii thred nimependa shauri nyingi ila huu ni the best, HAMNA HAJA YA KISASI!
 
Mungu atalipa ikiwa TU na yeye ni muaminifu, vinginevyo aendelee tu na mpango wake ambao utamgharimu.

Ule msemo wa KITANDA HAKIZAI HARAMU... Umewalenga wanaume na sio wanawake. Ndoa za hao wa zamani zilidumu kwa kuwa wanaume walizilinda na sio siku hizi wanaume wanataka wanawake ndio wawalindie ndoa, Wakati wao wanajiita vichwa Sijui viongoi, unaongoza halafu unakataa lawama.

Mwanaume akimfumania mkewe Ili kuepusha aibu waliikuwa wanayaongea kimyakimya. AKIZALIWA MTOTO anakuwa wa ndoa na inabaki siri yao... Watu wataongea watanyamaza....

Wanaume Kuweni viongozi kweli Kuweni vichwa acheni kuwa vichwa Maji.

NB: sitetei usaliti wa wanawake Ila panapotokea kosa tatueni kwa hekima. Huo ndio UANAUME.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…