- Thread starter
- #121
Sasa kama huyo jamaa kaambiwa na mkeo hana mume!
Anajua vizuri sana kuwa ana mume na ananifahamu.
Nilichoamua ni kupita na mke wake
Na kumkomesha kwa 'wataalam'
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa kama huyo jamaa kaambiwa na mkeo hana mume!
Umeshaweka mpango sawa namna ya watoto wako watakavyoishi na kusoma kwa kipindi chote ambacho hautakuwepo? ( kwenye kisasi unaweza ishia jela au kaburini).
Hakikisha unakamilisha taratibu zote juu ya hao watoto, umeacha hela kwenye account kwa ajili ya chakula, malazi na ada. Na hiyo nyumba tafuta msimamizi ambaye ni mwaminifu.
Kama hauna nyumba, hela za kutosha achana na mambo ya visasi utatesa watoto wako.
mkuu ukiamua kwenda jera chagua lile bando kubwa la kifungo cha maisha , jamaa tusimuone tena lakini ukiwa jera kuna mwamba mwingine atakuja mtafuna wife.
Sent using Jamii Forums mobile app
kwa wataalamu umefanyaje kumkomesha?Anajua vizuri sana kuwa ana mume na ananifahamu.
Nilichoamua ni kupita na mke wake
Na kumkomesha kwa 'wataalam'
Unataka kujua ?kwa wataalamu umefanyaje kumkomesha?
napenda sana kujua, nafahamu ile ya Tanga inampoteza kabisa mhusika, yako ikoje?Unataka kujua ?
Kumpoteza not fair ila kwa kipimo kile kile alichopima na yeye atapimiwa na nyongeza kdg.napenda sana kujua, nafahamu ile ya Tanga inampoteza kabisa mhusika, yako ikoje?
Itakuwa umeua nguvu zake za kujidaiaKumpoteza not fair ila kwa kipimo kile kile alichopima na yeye atapimiwa na nyongeza kdg.
Mkuu nmesomaaaa thread yako ila nilipokutana na neno Watoto wangu basi bila shaka nilisimama na kukushangaa kidogo mkuu, siwezi na sitokushauri juu ya Kisasi kwa sababu siku zote watu ambao hatujapitia such situations hatuna haki ya kukushauri ila juu ya watoto mkuu, ni bora ukaachana na huyo mkeo kama unaona utaumia na hautoweza kusamehe kila umuonapo kwa sababu those kids needs your love and care na kama ni mtu wa busara mkuu peleka nguvu zako katika kulea watoto wako na uachane na wanawake(kama utaamua kulipiza kisasi pia) mana wewe ndie utapoteza. Kisheria adultery ni kosa na kama una ushahidi unaweza tafuta talaka, kidini kama umeishi more thatn two years unaruksa ya kuomba talaka.Hakika una watu wanadharau humu duniani tena ya kiwango cha juu hivyo basi wanatakiwa watendewe sawa sawa na kiwango cha dharau yao.
Iko hivi, kuna kijana niliona ana mfatilia mke wangu nami nikamwonya zaidi ya mara tatu. Hivi karibuni nikathibitisha kuwa ni kweli ametembea na mke wangu.
Sasa kwa kuwa nilishamuonya na hakusikia wala kuelewa, nataka nimfanyie jambo liwe kumbukumbu maishani mwake.
Kwa huyu mwanamke yeye ameshapata anachostahili.
Nikiwatazama wanangu naumia sana maana wanaenda kuishi maisha wasiyostahili hata kidogo.
Kwa maelezo hayo nipo tayari kutumia chochote ili tu lengo langu lifanikiwe.
Tafadhali, nishauri nini nimfanyie huyu ndugu kwa uzito uleule alionitendea mimi.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Tena vizuri mtu ametumia busara kukuonya kuhusu mkewe halafu unajifanya mjanja...chukua watu 4 wakachezee washeri
Sent using Jamii Forums mobile app
kwenye hii thred nimependa shauri nyingi ila huu ni the best, HAMNA HAJA YA KISASI!Samahani,wewe hujawahi kumsaliti lakini hajui?Ushauri wangu muache hapo hapo alee watoto wenu lakini usitembee naye,watoto watapata taabu na hawana hatiaUsitese watoto wako,Mwambie aendelee kukaa hadi watoto wakue,wawe wakubwa kidogo,Yeye aendelee kutombwa na huyo jamaa,lakini sio nyumbani yaani yeye awe anapelekwa tu Guest,Hi ni kwa shauri y watoto,Hutakula ukashiba,hutapata usingizi,hutavaa vizuri kila ukifikiri watoto wako
Upande wa jamaa
Mwambie maneno haya,ukitembea na mke wa mtu mwingine hakikisha mumewe hajui utakuja kupata matatizo watu wote sio kama mim,Kisha endelea na maisha yako,
Inakua ngomalization....
Mungu atalipa ikiwa TU na yeye ni muaminifu, vinginevyo aendelee tu na mpango wake ambao utamgharimu.Sijawahi kufikiria kufanya kitu kibaya kwa yoyote ksbb ya mke wangu kucheat. Wala usipanic. Jitahidi sana kujituliza,usiwe na haraka. Fanya tu mpango wa kuhakikisha,uwe na ushahidi. Fanya kuwafumania au mke wako akiri mbele za watu wengine kama ushahidi. Hatua ya pili muache kwa amani mkeo. Ikibidi mgawie hata baadhi ya vitu mlivyotafuta nae. Ninachokiamini mwanamke kampenda nae yule mwizi wako,haina haja uende jera ksbb ya mapenzi tu. Wewe msahau kabisa. Nakuhakikishia baada ya kumuacha kwa amani MUNGU ndie atahangaika nao,atakulipia kwa wakati usioujua.
Sent using Jamii Forums mobile app