[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]Mtu ambaye yupo tayari kuiharibu nyumba(familia) yako ni adui yako, tena ni adui mkubwa sana.
Hata mimi, atakayejaribu kuiharibu familia yangu ambayo natumia nguvu kubwa sana kuijenga, lazima aumie, hakika ataumia tu. People don't know that we go through sleepless nights just to make sure our families live well, wanataka kuteleza kwenye ganda la ndizi.
Do him good brother, teach him a good lesson that he will cherish for the rest of his life. Hata shetani alimuomba Mungu ili akamdhuru Ayubu, go for it brother.
DaaaaahhhIlikuwa lazima uje na ID mpya kwa jambo hili? Usikute kwenye ID yako ya siku zote unajifanya uko happily married, you got the perfect marriage ever
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama umeshampa funzo mkeo we deal na mambo ya familia yako, walimwengu wako na malimwengu mengi ambayo hatutaweza yabeba yote mabegani mwetu!
Mwache hana hatia huyo shida ni huyo Hawa wako aliyeshindwa kutunza heshima na kiapo chake.
Tena huyo ungemwacha hapo hapo home alee watoto
HALAFU
1. Usimpe unyumba,
2. Usimsemeshe,
3. Mpe mahitaji yake kama mwanamke tu wakawaida,
4. Usimsikilize,
5. Usile chakula chake
6. Tafuta house boy akufulie nguo zako na
7. Usimpe wajibu wowote pale home
Baada ya hapo ataelewa maana yake
Pia muulize kwa nn anaenda huko, labda hashibi chakula tamu jamani ikawa ndio sababu ya yeye kutoka na kwenda kujazilizia kibaba kwa jirani
Sent using Jamii Forums mobile app
Kataa ndoaHakika una watu wanadharau humu duniani tena ya kiwango cha juu hivyo basi wanatakiwa watendewe sawa sawa na kiwango cha dharau yao.
Iko hivi, kuna kijana niliona ana mfatilia mke wangu nami nikamwonya zaidi ya mara tatu. Hivi karibuni nikathibitisha kuwa ni kweli ametembea na mke wangu.
Sasa kwa kuwa nilishamuonya na hakusikia wala kuelewa, nataka nimfanyie jambo liwe kumbukumbu maishani mwake.
Kwa huyu mwanamke yeye ameshapata anachostahili.
Nikiwatazama wanangu naumia sana maana wanaenda kuishi maisha wasiyostahili hata kidogo.
Kwa maelezo hayo nipo tayari kutumia chochote ili tu lengo langu lifanikiwe.
Tafadhali, nishauri nini nimfanyie huyu ndugu kwa uzito uleule alionitendea mimi.
DuuhHuyo jamaa ukimuacha atalala na wake za watu wengine...hawa wanaomtetea hapa hawana wake??
Mkuu kanunue zile waya za kuchania miamba ya madini...umfunge nao uuwashe...au uuzungushie mwenye Nyumba yake uuwashe
dont do anything, inaonyesha kilichofanyika ni CONSESUAL RELATIONSHIP ya watu wazima, labda angekuwa amembaka, hiyo ni kesi nyingine ya jinai, cha kufanya endelea na mahusiano ya COLLABO/ushirikianao na huyo MWAMBA au umpe divorce mkeoHakika una watu wanadharau humu duniani tena ya kiwango cha juu hivyo basi wanatakiwa watendewe sawa sawa na kiwango cha dharau yao.