Kama umeshampa funzo mkeo we deal na mambo ya familia yako, walimwengu wako na malimwengu mengi ambayo hatutaweza yabeba yote mabegani mwetu!
Mwache hana hatia huyo shida ni huyo Hawa wako aliyeshindwa kutunza heshima na kiapo chake.
Tena huyo ungemwacha hapo hapo home alee watoto
HALAFU
1. Usimpe unyumba,
2. Usimsemeshe,
3. Mpe mahitaji yake kama mwanamke tu wakawaida,
4. Usimsikilize,
5. Usile chakula chake
6. Tafuta house boy akufulie nguo zako na
7. Usimpe wajibu wowote pale home
Baada ya hapo ataelewa maana yake
Pia muulize kwa nn anaenda huko, labda hashibi chakula tamu jamani ikawa ndio sababu ya yeye kutoka na kwenda kujazilizia kibaba kwa jirani
Sent using
Jamii Forums mobile app