Nataka kulipiza kisasi

Nataka kulipiza kisasi

Mtu ambaye yupo tayari kuiharibu nyumba(familia) yako ni adui yako, tena ni adui mkubwa sana.

Hata mimi, atakayejaribu kuiharibu familia yangu ambayo natumia nguvu kubwa sana kuijenga, lazima aumie, hakika ataumia tu. People don't know that we go through sleepless nights just to make sure our families live well, wanataka kuteleza kwenye ganda la ndizi.

Do him good brother, teach him a good lesson that he will cherish for the rest of his life. Hata shetani alimuomba Mungu ili akamdhuru Ayubu, go for it brother.
[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]
 
Hapo ndipo utakapojua kwamba mtu pamoja na kujishaua kote, kwa undani kabisa, bado ni mnyama tu.
 
Good, advice
Kama umeshampa funzo mkeo we deal na mambo ya familia yako, walimwengu wako na malimwengu mengi ambayo hatutaweza yabeba yote mabegani mwetu!

Mwache hana hatia huyo shida ni huyo Hawa wako aliyeshindwa kutunza heshima na kiapo chake.

Tena huyo ungemwacha hapo hapo home alee watoto

HALAFU
1. Usimpe unyumba,
2. Usimsemeshe,
3. Mpe mahitaji yake kama mwanamke tu wakawaida,
4. Usimsikilize,
5. Usile chakula chake
6. Tafuta house boy akufulie nguo zako na
7. Usimpe wajibu wowote pale home

Baada ya hapo ataelewa maana yake

Pia muulize kwa nn anaenda huko, labda hashibi chakula tamu jamani ikawa ndio sababu ya yeye kutoka na kwenda kujazilizia kibaba kwa jirani

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakika una watu wanadharau humu duniani tena ya kiwango cha juu hivyo basi wanatakiwa watendewe sawa sawa na kiwango cha dharau yao.

Iko hivi, kuna kijana niliona ana mfatilia mke wangu nami nikamwonya zaidi ya mara tatu. Hivi karibuni nikathibitisha kuwa ni kweli ametembea na mke wangu.

Sasa kwa kuwa nilishamuonya na hakusikia wala kuelewa, nataka nimfanyie jambo liwe kumbukumbu maishani mwake.

Kwa huyu mwanamke yeye ameshapata anachostahili.

Nikiwatazama wanangu naumia sana maana wanaenda kuishi maisha wasiyostahili hata kidogo.

Kwa maelezo hayo nipo tayari kutumia chochote ili tu lengo langu lifanikiwe.

Tafadhali, nishauri nini nimfanyie huyu ndugu kwa uzito uleule alionitendea mimi.
Kataa ndoa
 
Huyo jamaa ukimuacha atalala na wake za watu wengine...hawa wanaomtetea hapa hawana wake??
Mkuu kanunue zile waya za kuchania miamba ya madini...umfunge nao uuwashe...au uuzungushie mwenye Nyumba yake uuwashe
Duuh
 
Hakika una watu wanadharau humu duniani tena ya kiwango cha juu hivyo basi wanatakiwa watendewe sawa sawa na kiwango cha dharau yao.

Iko hivi, kuna kijana niliona ana mfatilia mke wangu nami nikamwonya zaidi ya mara tatu. Hivi karibuni nikathibitisha kuwa ni kweli ametembea na mke wangu.

Sasa kwa kuwa nilishamuonya na hakusikia wala kuelewa, nataka nimfanyie jambo liwe kumbukumbu maishani mwake.

Kwa huyu mwanamke yeye ameshapata anachostahili.

Nikiwatazama wanangu naumia sana maana wanaenda kuishi maisha wasiyostahili hata kidogo.

Kwa maelezo hayo nipo tayari kutumia chochote ili tu lengo langu lifanikiwe.

Tafadhali, nishauri nini nimfanyie huyu ndugu kwa uzito uleule alionitendea mimi.
dont do anything, inaonyesha kilichofanyika ni CONSESUAL RELATIONSHIP ya watu wazima, labda angekuwa amembaka, hiyo ni kesi nyingine ya jinai, cha kufanya endelea na mahusiano ya COLLABO/ushirikianao na huyo MWAMBA au umpe divorce mkeo
 
1000019674.jpg
 
Back
Top Bottom