Nataka kulisaidia Jeshi la Polisi; Muuaji aliyekimbia DSM anaishi hapa

Nataka kulisaidia Jeshi la Polisi; Muuaji aliyekimbia DSM anaishi hapa

natumai mko poa wakuu

huwa nachukia sana wahalifu wanaofanya matukio na kukimbia mkono wa sheria,zaidi namchukia sana yule anayemficha muhalifu asiweze kukutana
Kulikuwa na haja gani kunianika humu? Ilikuwa self defense nilikuwa najilinda kwasababu jamaa ndo alitaka kuniua.

Ishi na Jali maisha yako wewee
 
Hapo Inaonekana jamaa Ana kesi nyingne tena hivi kwa tecnolojia iliopo kwann tusifanye watu Wote wawe kwenye system digital hata ikitokea MTU Ana kesi au anafatiliwa ijulikane kwa fingerprint Kama Ni fugitive Kama ulaya wanavofanya hata kwenye regular trafic stop wawakamate watu wa aina hio hio ingesaidia Sana Hapa bongo unaweza ukawa unafatiliwa kwa kesi nyingne ukakamatwa sehem nyingne kwa kesi tofauti na Bdo wasitambue kwamba unafatiliwa kwa kesi ya mwanzo
 
natumai mko poa wakuu

huwa nachukia sana wahalifu wanaofanya matukio na kukimbia mkono wa sheria,zaidi namchukia sana yule anayemficha muhalifu asiweze kukutana na adhabu anayoistahili kuipata baada ya kufanya uhalifu wake.

Huyu jama
Tukio lilitokea Mburahati Dar es salaam.Case yake ipo Pale Police Mburahati.Marehemu Alimreport huyu jamaa kwa Police kuwa anauza Mihadharati!.Jamaa akakutana na Marehemu kichochoroni maeneo ya Mburahati kota ndipo alipomchoma visu mpaka kupeleka umauti wa jamaa.kisha akakimbia
 
Polisi lazima waondoke na wewe wakakuminye hizo kende au useme na mengine. Acha kimbelembele mwana hilo Jeshi haliaminiki.

R.I.P Hamza, Ben Saanane n.k
 
Mkuu nakushauri achana na hiyo issue Police sio watu wazuri utatoa taarifa at the end wanakugeuzia kibao
Mkuu Suchak, haijafika mahala jeshi looote la polisi likawa haliaminiki, ila kuna baadhi ndio walichafuao haijalishi kuwa ni wengi au wachache, kwangu mimi namshauri ahakiki kwanza kile anachotaka kukitolea taarifa ni sahihi kama ni sahihi basi atafute pia mtu sahihi wa kumpa hiyo taarifa ili ifanyiwe kazi.

Kuishi mtaani na mtu hatarishi ilhali unatambua kuwa huyu ni hatarishi si jambo la busara, mnaweza kuja kujilaumu mbeleni.
 
natumai mko poa wakuu

huwa nachukia sana wahalifu wanaofanya matukio na kukimbia mkono wa sheria,zaidi namchukia sana yule anayemficha muhalifu asiweze kukutana na adhabu anayoistahili kuipata baada ya kufanya uhalifu wake.
Atakuwa amekugongea Demu wako si bure...
 
Back
Top Bottom