Nataka kulisaidia Jeshi la Polisi; Muuaji aliyekimbia DSM anaishi hapa

Nataka kulisaidia Jeshi la Polisi; Muuaji aliyekimbia DSM anaishi hapa

Hii namba ya nani?
Mi nataka ya IGP SIRRO
Utamuambia mimi nimekupa hana shida huyo.
Screenshot_20211014-235824.jpg
 
Kama akimchomea police huyo marehemu atafufuka ?? Aache ipite kama kweli aliua bila kosa basi karma naye itamrudi
Akili za hivi ni za wapi jamani, nyie ndiyo mnafuga majambazi majumbani mwenu. Huyu bwana akishafikishwa mbele ya mahakama na akapatikana na hatia na kupewa adhabu basi marehemu anakuwa amepata haki yake.
 
tukio lilitokea Mburahati Dar es salaam.Case yake ipo Pale Police Mburahati.Marehemu Alimreport huyu jamaa kwa Police kuwa anauza Mihadharati!.Jamaa akakutana na Marehemu kichochoroni maeneo ya Mburahati kota ndipo alipomchoma visu mpaka kupeleka umauti wa jamaa.kisha akakimbia
Dah,jamaa katili kumbe!!
 
Achana nae beefs sio nzuri just move on Mungu mwenyewe atapambana nae unaweza kujiingiza katika uadui USIO na kichwa Wala MIGUU. Tafuteni Amani Na Kila MTU. ..

Tupac alivyo pigwa risasi wakati Yupo hospitalini askari walimfuata kumuhoji.

Askari: Do u know the guy who shot you?

Tupac : Yes I know him.

Askari: Can u tell us what is his name?

Tupac : Fvk u beech...

Suge Knight Sasa mwandishi anamuhoji:
Mwandishi : Mr Suge if u happen to know the guys who killed Tupac would u like to report them?

Suge : No.

Mwandishi : Why?

Suge : Because I am not a snitch and I cannot snitch on anyone in any manner whatsoever.


50 Cents baada ya kupigwa risasi Tisa aliulizwa Na askari wapelelezi." do you know the guys who shot you? Akajibu " Yes I do" wakamuuliza Tena " can u tell us who are they "? Akawajibu " Nope thank you".
ujinga huo hakuna ushujaa wowote katika stori zako. Waharifu ni watu wa kuripotiwa si wakufugwa mtaani. Mnalea mabomu siku yakiwalipukia mnaanza kulaumu serikali.
 
Shida ya PGO point 32 wewe ndio utakamatwa , muuaji ataendelea kutafutwa
 
Kumbuka wewe pia ulizalisha mwanafunzi tabola ukakimbilia huko mwaka wa nane huu au nawe tukuchome ? Sio fresh mkuu
mtoto wa kike au kiume? Huku pwani ata Ukifumaniwa wewe ni Kidume weka picha basi nimwone Mwanangu
 
Fanya yako ndg ni drug dealer huyo siunaona wezako wanakatwa vichwa ofisini hatupendi yatokee hata polisi yenyewe mguu sawa mguu pande
 
natumai mko poa wakuu

huwa nachukia sana wahalifu wanaofanya matukio na kukimbia mkono wa sheria,zaidi namchukia sana yule anayemficha muhalifu asiweze kukutana na adhabu anayoistahili kuipata baada ya kufanya uhalifu wake.
mamia kesi za mauaji ningewapa maelezo vizur waje wamnyakue.
Polisi wa Tanzania wana matatizo ya kiakili na wazembe.....watu wameshamlalamikia Kamanda Sirro kuwa wamkamate IGP wa zamani (Omar Mahita) kwa ujambazi wa uporaji hela mabenki na kuua walinzi lakini mpaka leo bado yupo tu mitaani anatapatapa. Ridhiwani Kikwete alikamatwa China na makontena ya unga lakini yuko mitaani tu anakula madafu na kucheka watu aliowaharibu akili mitaani kwa madawa ya kulevya. usishangae hata huyu jamda unayemtaja hapa hachukuliwi hatua yeyeote mpaka atazeeka.
 
piga namba hii 0787668306...lakini amekukosea nini hadi unatakaa kumchoma...?
Kweli mtu aliyeua unataka afichwe! Sema mwandishi nae kama alimficha kwa stahili flani ila sasa hivi yeye na huyo mwamba hawapo vizuri tena. Anataka kuja hapa kuonekana mwema.
 
Umeonyesha uzalendo wa hali ya juu.
Tatizo linaanzia pale polisi wetu wengi hugeuza kesi kuwa dili, na wakiona hamna dili ndipo wanaifikisha mahakamani.
 
Hapo Inaonekana jamaa Ana kesi nyingne tena hivi kwa tecnolojia iliopo kwann tusifanye watu Wote wawe kwenye system digital hata ikitokea MTU Ana kesi au anafatiliwa ijulikane kwa fingerprint Kama Ni fugitive Kama ulaya wanavofanya hata kwenye regular trafic stop wawakamate watu wa aina hio hio ingesaidia Sana Hapa bongo unaweza ukawa unafatiliwa kwa kesi nyingne ukakamatwa sehem nyingne kwa kesi tofauti na Bdo wasitambue kwamba unafatiliwa kwa kesi ya mwanzo
Hii issue atakuwa anaielewa vizuri zaidi Lugumi.

Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom