Mkushi Mbishi
JF-Expert Member
- Sep 30, 2018
- 332
- 549
- Thread starter
- #101
bila shaka tukio litakuwa limeripotiwaKama tukio liliripotiwa polisi ni rahisi.......
lakini kama hawakuripiti shida hiyo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
bila shaka tukio litakuwa limeripotiwaKama tukio liliripotiwa polisi ni rahisi.......
lakini kama hawakuripiti shida hiyo
mkuu hilo jina santos pia nililisikia kwenye hizo story zao,nipe story kidogo ilikuwaje unirahisishie kazi.Niliskia story kama hiyo maeneo ya Mburahati Barafu (Santos)..Nadhani atakua huyo huyo bwege.
unanikatisha tamaa sasa mm nitakuwa na kesi gani hapo?kutoa taarifa ya muhalifu alipojificha kama ni kosa bora niende kijiweni nikanywe kahawa watoto wasije wakakosa ugali.Unajitafutia kesi, utakuwa shaidi wa kwanza ...!
hili pia lilinishangaza sana kwamba jamaa ana kesi ya madawa alikamatwa nazo live wakati anavuka vijinga barabara ya kutoka horohoro boda kuja tanga mjini,kila mwezi alikuwa anaenda kusikiliza kesi mpaka ikafikia utetezi na hizi tarehe za mbele anadai anaenda kwenye hukumu,kama kungekuwa na uhifadhi kumbukumbu za kesi kwa njia za kisasa zaidi angejulikana mapema.Hapo Inaonekana jamaa Ana kesi nyingne tena hivi kwa tecnolojia iliopo kwann tusifanye watu Wote wawe kwenye system digital hata ikitokea MTU Ana kesi au anafatiliwa ijulikane kwa fingerprint Kama Ni fugitive Kama ulaya wanavofanya hata kwenye regular trafic stop wawakamate watu wa aina hio hio ingesaidia Sana Hapa bongo unaweza ukawa unafatiliwa kwa kesi nyingne ukakamatwa sehem nyingne kwa kesi tofauti na Bdo wasitambue kwamba unafatiliwa kwa kesi ya mwanzo
InachekeshaAkili za hivi ni za wapi jamani, nyie ndiyo mnafuga majambazi majumbani mwenu. Huyu bwana akishafikishwa mbele ya mahakama na akapatikana na hatia na kupewa adhabu basi marehemu anakuwa amepata haki yake.
hili haswa ndio lililofanya nishindwe kwenda kutoa taarifa katika vituo vyetu vya polisi hapa karibuHakikisha hawakujui kama ww ndo umetoa taarifa
hapana mkuu hajanifanyia lolote ila kile kitendo cha kujua kuwa ameuwa na amekuja mtaa huu nyumbani kwao kujificha SIKUBALIANI NACHOAtakuwa amekugongea Demu wako si bure...
kwa kuwa sina kosa lolote zaidi ya kutoa taarifa kama tunavyosisitizwa kushirikiana na askari wetu kutokomeza uhalifu sifikirii kuogopa chochote.Polisi lazima waondoke na wewe wakakuminye hizo kende au useme na mengine. Acha kimbelembele mwana hilo Jeshi haliaminiki.
R.I.P Hamza, Ben Saanane n.k
si member wala hafahamu kama kuna jf wala instagram ni nini.Sasa kama huyo muuaji nae ni member wa jf si ndio atajificha baada ya kusoma hii thd?
Ur a snitchhapana mkuu hajanifanyia lolote ila kile kitendo cha kujua kuwa ameuwa na amekuja mtaa huu nyumbani kwao kujificha SIKUBALIANI NACHO
mkuu mpaka sasa bado tu fanya haraka hizi taarifa za kuripotiwa zinaweza kumfikia huyo muharifu.kwa kuwa sina kosa lolote zaidi ya kutoa taarifa kama tunavyosisitizwa kushirikiana na askari wetu kutokomeza uhalifu sifikirii kuogopa chochote.
kwahiyo unashauri niachane nae tu ale bata.
Hapana mkuu woga wako ndiyo kikwazo kwako na kwa jamii inayokuzunguka, kiufupi mtoa mada nimemkubali kwa nia njema na dhamira yake. Atoe tu taarifa hakuna shida na ameshapewa namba ya IGP kabisa ashindwe yy.Mkuu TZ ni ngumu sana. Unaeza shangaa unareport then polisi wanampa muhalifu report kwamba karipotiwa na flani. Hawa watu wana connection na wanausalama kinoma.
Jua kwamba unajiweka kwny risk wewe na watu wako.
Do it on your own risk
Polisi siwaamini kabisa mkuu. Mzee wangu na mama wameuawa kwa mambo ya kijinga ya hawa watu. Sitokaa niwaamini.Hapana mkuu woga wako ndiyo kikwazo kwako na kwa jamii inayokuzunguka, kiufupi mtoa mada nimemkubali kwa nia njema na dhamira yake. Atoe tu taarifa hakuna shida na ameshapewa namba ya IGP kabisa ashindwe yy.
Kuna ishu za kutilia shaka katika kuziripoti ila hiki cha mpuuzi mmoja kama huyu hana mkono wowote mrefu mkuu.Polisi siwaamini kabisa mkuu. Mzee wangu na mama wameuawa kwa mambo ya kijinga ya hawa watu. Sitokaa niwaamini.
Yes hii ni namba ya polisi Kanda maalum DSMPiga namba hii 0787668306...lakini amekukosea nini hadi unatakaa kumchoma...?