The Mongolian Savage
JF-Expert Member
- Jul 5, 2018
- 8,082
- 17,838
Kulikuwa na haja gani kunianika humu? Ilikuwa self defense nilikuwa najilinda kwasababu jamaa ndo alitaka kuniua.natumai mko poa wakuu
huwa nachukia sana wahalifu wanaofanya matukio na kukimbia mkono wa sheria,zaidi namchukia sana yule anayemficha muhalifu asiweze kukutana
Awe ameuawa nduguyo, sijui ungeendelea na mawazo hayo?Polisi wanajisifu kua wana intelijensia kubwa waache wao wenyewe wamtafute mtu huyo. Polisi wetu wamezoea kila tukio hadi wapewe feeds toka kwa raia wema. Ila likija swala la siasa ndio kwanza wanapima hadi hisia za wananchi.
Alichofanya ni kitu sahihi kabisa acha ujinga lofa wewe.Sasa unapata faida gani mkuu
Ataipigaje hiyo namba?maana polisi wetu hawakawii kumchoma mtoa taarifa.piga namba hii 0787668306...lakini amekukosea nini hadi unatakaa kumchoma...?
Daaah utakuwa unatania lazima!!.Sasa unapata faida gani mkuu
Tukio lilitokea Mburahati Dar es salaam.Case yake ipo Pale Police Mburahati.Marehemu Alimreport huyu jamaa kwa Police kuwa anauza Mihadharati!.Jamaa akakutana na Marehemu kichochoroni maeneo ya Mburahati kota ndipo alipomchoma visu mpaka kupeleka umauti wa jamaa.kisha akakimbianatumai mko poa wakuu
huwa nachukia sana wahalifu wanaofanya matukio na kukimbia mkono wa sheria,zaidi namchukia sana yule anayemficha muhalifu asiweze kukutana na adhabu anayoistahili kuipata baada ya kufanya uhalifu wake.
Huyu jama
Hajakosea ni sawa kabisa- kama Raia MwemaKulikuwa na haja gani kunianika humu? Ilikuwa self defense nilikuwa najilinda kwasababu jamaa ndo alitaka kuniua.
Ishi na Jali maisha yako wewee
Mkuu Suchak, haijafika mahala jeshi looote la polisi likawa haliaminiki, ila kuna baadhi ndio walichafuao haijalishi kuwa ni wengi au wachache, kwangu mimi namshauri ahakiki kwanza kile anachotaka kukitolea taarifa ni sahihi kama ni sahihi basi atafute pia mtu sahihi wa kumpa hiyo taarifa ili ifanyiwe kazi.Mkuu nakushauri achana na hiyo issue Police sio watu wazuri utatoa taarifa at the end wanakugeuzia kibao
Kama kaua akamatweSasa unapata faida gani mkuu
Atakuwa amekugongea Demu wako si bure...natumai mko poa wakuu
huwa nachukia sana wahalifu wanaofanya matukio na kukimbia mkono wa sheria,zaidi namchukia sana yule anayemficha muhalifu asiweze kukutana na adhabu anayoistahili kuipata baada ya kufanya uhalifu wake.
Nicheck PMnatumai mko poa wakuu
huwa nachukia sana wahalifu wanaofanya matukio na kukimbia mkono wa sheria,zaidi namchukia sana yule anayemficha muhalifu asiweze kukutana na adhabu anayoistahili kuipata baada ya kufanya uhalifu wake.
Awe ameuawa nduguyo, sijui ungeendelea na mawazo hayo?